Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ndio maana jamii nyingi za kiafrika walikuwa wanakata hicho kiantena (kin**e**mbe) kukomesha tabia kama hii ya mwanamke kushindana na mwanaume kwenye Sexual desire.
Ilibidi na nyie mfanyiwe jambo ili mtulie kwenye ndoa zenu.
 
Wanawake wanapaswa wakuige ili ndoa zidumu, hamna njia rahisi ya kumzuia mwanaume kuchepuka, hata uliamshe, ulipuke mpaka wapi...hautomzuia.

Kuchepuka huwa haimaanishi hatuwapendi wake zetu, ni kwamba tunakumbana na vishawishi zaidi ya 1,000 kila siku mpaka mara moja moja uzalendo unatushinda, hivyo tulia na ukumbuke wewe ndiye mkewe,
 
Utajuaje sasa? Kwani mimi ni mjinga niruhusu ujue? Nitatumia mbinu zangu za kijasusi.
Na sio lazima nifanye nae kila siku, hata mara moja kwa mwezi inatosha. Tukikutana nahakikisha amenisugua haswaa, na nampa hadi ile popo kanyea mbingu na ile ya kuingia uvunguni. Nikitoka hapo nyege zote zimeisha nitamtafuta mwezi ujao tena. Na simu hatupigiani.
 
Simpi, namwambie nenda kwa huyo mchepuko wako akakupe.
 
Sasa mwezi mzima huduma za mume lazima utatoa tu bila kupendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna huo ujinga wa kuninyima tunda! Yani untoe mswaki mwezi mzima tunalala na kuamka bed 1?

Utata wa kutoa ngenya ghafla tu utanifanya nijue una jamaa nje!
 
Sasa mwezi mzima huduma za mume lazima utatoa tu bila kupenda[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna huo ujinga wa kuninyima tunda! Yani untoe mswaki mwezi mzima tunalala na kuamka bed 1?

Utata wa kutoa ngenya ghafla tu utanifanya nijue una jamaa nje!
Haki tena sikupi. Kila ukinigusa nakwambia unataka uniambukize maradhi niache watoto wangu yatima eeh? Nitakusimanga mpaka uishiwe nguvu za kiume. Kila ukitaka nakwambia subiri tukapime afya kwanza usije ukaniua na unzinzi wako. Kwanza nikupe kwa nini na wakati hauridhiki?.
 
Nakubembeleza hadi utanipa mbona yani katika namna ya pekee hata kwa kuomba msamaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanawake mmeumbiwa sisi
 
Nimecheka sana mkuu. Sasa ntafanyejee ndo kufa na kuzikana tenaa. Kwa ushahudi wa wanaume humu hakuna asiechepuka au tuseme wengi ni wahanga
Una hekima sana we manzi..
Kuzuia mwanaume kuchepuka ni sawa na kulazimisha maji yatiririke kuelekea juu ya mlima bila mashine
 
Si mnasemaga watoto wawe na akili tofauti wasije wote wakawa vilaza ila dhambi kichizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wawe tofauti pia na kweli wengi wa kuchepuka hufanikiwa Sana kuliko wa ndoani pia ni equalizer ya ndoa kutokuvunjika maana na wewe sio msafi hata mumeo akiwa na makando una msamehe ila ukiwa mwaminifu kwenye mahusiano chance ya kufa hayo mahusiano ni 97%
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Subiri magonjwa kama ulivyotabiri! Mama huruma bana hapo hapo mpaka wote mtakapowaacha hai watoto mmaowajali wakiwa yatima.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…