Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Hahhaaa mimi ambaye najijua kabisa si wife material, nimejiamulia kukaa tu kimya. Ukisikia tu "wewe ndiyo umekomaa sasa", ujue these sons of Solomon are trying to legitimize some nonsense. Ukomae wewe nazi?
Ukomae wewe nazi ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Picha yako iwekwe kwenye mabasi yote kama mama shujaa
 
Mchepuko unajua kuloga yaani wote mpo kwenye chupa! Hii ni ajabu sana, anyway mtu akikunyang'anya koti mwachie na kanzu pia eeti!?
 
Ni kauli thabiti ya mwanamke hodari.
 
It’s true na kama anapiga kweli goti nyumba yake ingekua na ulinzi dhidi ya michepuko lol,,,,,( ni vibaya kuhukumu lakini/ku judge
Ntapiga baada ya tukio bi shost. So kumbe kila achepukae huwa kuna tatizo ee
 
Una hakika wewe sio malaika??

Mi sishauri muachane ila nachoweza kukushauri acha kabisa simu ya huyo baba maana ukiendelea kuipekua yajayo yanaweza yasiwe ya kufurahisha!!

Usiwe unaigusa hata kwa bahati mbaya hasa kwenye texts na whatsapp!!
Simu kuacha kupekenyua ndo kuhalalisha maasi
 
Wewe ndo huna maisha. Umeshajichokea huna pa kwenda ndo maana unaona mwanaume wako kuwa na mchepuko ni sawa tu[emoji23]. Ukaamua uanzishe uzi huku ili wapumbavu wakupe hongera[emoji23][emoji38]
Tuliza shobo my dear hunijui sikujui usijifariji kwa uzi huu au unadhani kutokufanya maamuzi kama utakayoyafanya wewe ni kujichokea? Hakuna mpumbavu hata mmoja huo ndo uhalisia by the way sio kwamba sitauliza au sitafatilia hilo umejijibu mwenyewe. Halafu nadhani ww ndo umejichokea kwa sasa upo tuu umeachwa hapo baada ya kujifanya ujuaji mwingi. Halafu unajikuta unayawezaaa au ww ndo ukijua unachitiwa unakufa kabisa.
 
Si bure nati zitakua zimekatika kichwani mwake. Isije kua mwanaume alimuoa kwa kumuonea huruma.
Unanichekesha sana kwahyo kutokureact kwa kuzua varangati ndo nati zimekatika. Ww utakua mwalimu wa kiswahili wana maneno ilimradi sentensi zao ziwe na kivumishi na kielezi basi wanaongea
 
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
Mkuu wewe ni bonge la wife aisee. Braza amepata mke. Braza atumie tu kinga.
 
Nop. Kuumia ni kawaida ila hapa tunaongelea uhalisia na jinsi ambavyo jamii imeharibika. Angalau miaka ya nyuma maradhi hayakua mengi na globalization haikua kubwa hivi. Lazima tuendane na kasi ya mabadiliko or else uletewe hepatitis hapohapo ndani
Yani my dear kwa hilo usijali kabisaaa yani mm huruma yangu ni kwa jinsi anavyoteswa na stress but sio mjinga wa kukaa kimya eti sijauliza nop au si take action yyte kwa mustkabali wa afya zetu.
 
Hapana hili ni kosa la kwanza na nitake action baada ya hapo kama ntaona habadiliki ntachukua action nyingine. Hakuna binadamu aliekamilika kwamba labda ww hujachitiwa au hujui kama anacheat basi useme umefanya kila kitu hiyo hakuna. Sijaona mabaya hapo nyuma, just for this issue let me wait. Asante kwa ushauri
 
Miss Pablo mbona uko moto hivyo
 
Shukuru Mungu sana ukimpata Mwanamme sio muhuni/mchepukaji....japo ni wachache mno
 

Yangekuwa makosa mengine madogo sawa ungesema unasubiri afanye tena kosa, ndio um confront , ila ndugu amka mumeo hajafanya tu sex one time useme ni kosa la mara moja MUMEO KAAMUA KUWEKA KAMBI SEHEMU NYINGINE, in other words anapata anachokitafuta muda wowote anoutaka, kwa maana nyingine anakukosea REPEATEDLY, ni makosa kila siku sio kitu cha mara moja POLE huoni picha halisi umeamua mwenyewe kwa utashi wako kuwa blind, nimeona texts za wanaume zimekulewesha, unakazana sana kutujibu wadada
Ndugu hili ni lako, utalewa na sifa za humu ila baada ya kuzima computer/simu etc unabaki na kasheshe lako.. lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…