Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Tena hizo roho zinapaa kabisa kuflirt sie ha ha ha....mkuki kwa nguruwe bwana!Ndugu yangu labda uwe umemuokota kweli huyo mwanamke wa kumtishia nyau. Unahisi na yeye hawezi kuflirt au hana ubavu wa kumove on na mtu mwingine? Achana na mambo ya kuflirt, kwa sababu naamini ukikuta hayo kwa mwenzio roho itakukaa juu juu. Mnajitafutiaga presha za bureeee