Hehehe!!! Hamna kitu cha hovyo kama kupungukiwa nguvu za kiume, nakuambia hili kama mwanaume na limewahi kunitokea kipindi nilikua kazi yangu mipombe, yaani madini ya testerone yanapungua, unakua huna hamu ya mwanamke kabisa, iwe wako au wa huko nje, tena ukiingia bar unataka uwe mwenyewe, wanapita pita pita warembo wazuri unawaona tu huna hamu kabisa, ni maisha ya hovyo, nilipambana nayo yanakanitoka, nikaacha mapombe na kuanza zoezi na kula mbegu za maboga mpaka nikawa freshi kabisa full minguvu yote.
Ni kweli kuchepuka is choice, kila kitu kwenye maisha ni maamuzi, hamna chochote hujia mtu bila yake yeye kuamua na kukubali, na ndio maana nasema nilipambana dhidi ya vishawishi vyote vya kuchepuka, nikawa najizuia kwa kila mbinu, nakumbuka hata nilikua napiga punyeto ilmradi tu nisichepuke, kwamba wiki yote sjapewa na mke lhal nyege zinaniua halafu mademu ofisini na kote hawanipi amani, naamua kupiga nyeto presha zinanitoka naendelea na maisha, ila hatimaye nikashndwa uvumilivu na kufanya hayo maamuzi/choice ya kuchepuka.....tena kwa akili zangu mwenyewe.
Kuhusu wanawake, nyie mumeumbwa tofauti, kwa mwanamke kuchepuka eti umkomoe mumeo unajikomoa bure maana huko unakokwenda kutumiwa na hao wanaume ni hao hao tu akina sisi wanaume, mwsho wa siku wanawake huwa hamteswi na hisia za kingono kama sisi, na ndio maana ni vigumu umkute mwanamke anatongoza, labda hawa wa kisasa magubegube, lakini umkute demu anakuomba namba ya simu kisha akufuate fuate kukushawishi ulale naye, sio rahisi maana miili yenu haijaumbwa na huo moto, na ndivyo ilivyo kwa chochote cha jinsia ya kike, hata mbwa au jogoo, siku zote wa kiume ndio hufuata wa kike maana hisia za kutia huwa zinatutesa sana sisi wa kiume.