Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Aah case yako ilikuwa intense. Wapo wenzako, trako moja tu ndiyo kuamka hadi mwezi ujao; ila anataka alale na wanawake wengi ili huku nje wajue kuwa ndugu yetu naye kidume, kumbe maskini ya Mungu aibu yake na mkewe.

Afu kwa nini mnafikiri mwanamke akichepuka ni anataka kumkomesha mumewe? Wengine wanachepuka kwa hulka zao tu
daaah mama mchungaji traako moja tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] is this lady Mother Theresa, Our Lady of Fatimah or Rita wa Kashia?

Praying for whoom?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahfwax. Somebody is chewing somebodyz pussy and i gotta pray for that shit? Hahahahahaha oover my blaaackkk assssy... like wtf am i reading?

Heading to bulldoza mwampoo to step annointed oil? Lemme shake my bam bam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Sister Mary Antony angeninasa kibao ingekua miye. Nishinde njaa nafunga kwaajili ya mtu anakojoa kwa raha hukoo[emoji23][emoji23][emoji23] kojoo pwaah la rahaaaaa mimi nimekesha na mawaridi ya sala nimeshinda njaa na nashinda kila semina sijui kwa kina ireene mbowe sijui wapi kumuombea mzinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barikiwa saana sana sanaaa.
Huyu atakuwa lala1

Kwa mwandiko huu nitoshe ,,,,
 
Aisee ukimwambia Kua umeona na umefahamu kila kitu ila unampenda na unamhitaji bado daah katika uchawi namba moja huu ni wa kwanza, maana Jamaa atakuhandle tofauti na awali kabisa na atahitajidi mara zote kukuaminisha Kua anakupenda na ni muaminifu kwako trust me!
So atajitahidi ili kuficha uchafu wake au ataacha na kurudi majeshi sijakuelewa
 
Usijali, siku ukimletea ngwengwe atajua tu. Kutokuamini kwa jamano haimaanishi kuwa halipo. Na anaweza asimroge ili akatafuta means ya kumtilia sumu. Huku kuna mchepuko ulinogewa ukamtumia mume vibaka, wakampiga na kitu kizito kichwani, alikuja kufa. Hata michepuko huwa inatamani ipindue meza iolewe yenyewe
Siamini hayo mambo ya kishirikina.
Ninachojali ni wife asijue lolote juu ya mchepuko. Na ana amani kwani hata simu zangu anazitumia muda wowote akitaka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata hueleweki
Ni vigumu kunielewa , Kwa kuwa hutaki kunielewa .

Mwenzako katenda vyema Kwa mumewe Ila wewe unamsagia kunguni tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake wabishi kama wewe huwa wembamba Sana au wanene Sana [emoji39][emoji39][emoji39]

Wahurumie wanaume
 
Vigezo na masharti vizingatiwe. WEAK MEN CAN'T HANDLE STRONF WOMEN.

We stand on what we believe. Being chubby ama slim has nothing to do with cheaters with their silly behaviours.
 
Kila kitu kinakuja na mindset yako.Ukiwa akili yako kwenye ngono kila mwanamke atakayepita utamtamani kwasababu umeshaweka mindset yako hapo umeenda hapo baa kuangalia wanawake baadala ya kunywa bia yako urefresh mind.Ofisini fanya kazi mkuu acha kuchekacheka na vibinti na hata kama ukierect haimaanishi ndio you must have sex ni nature yenu kuerect mbona hata watoto wachanga wanaerect ni kawaida.Ni kithibitisho kwamba mitambo ipo sawa au unataka kuniambia hivi vitoto vichanga vinatamani navyo?Ukiamka asubuhi kama ni rijali lazima mitambo ikae sawa pia unataka kuniambia lazima usex hapo napo!Vitu vingine ni kujiendekeza tu!

Nguvu za kiume zinapungua kwa mwanaume fanyia uchunguzi hilo hasa kutokana na umri.Mtu akiwa kwenye miaka ya 20-30 anakuwa moto ila umri unavyoenda na nguvu zinapungua na ufanisi unapungua ni kawaida hata mbegu za kiume pia zinakuwa hazipo very effective after age 35....

Hahaha!! Ingekua nasex kila niki-erect aisei uume wangu ungekua umeshakatika na kudondoka maana kwa siku linanyanyuka mara nyingi sana, huwa tunadindisha na kuvumilia hivyo hivyo tu siku inaisha, na ni kweli sio kila tunadindisha kisa tumeweka mawazo kwenye ngono, kuna wakati nakua sehemu niko busy kwenye kazi zangu wala sina mawazo ya sex ila ghafla kifaa kinanyanyuka chenyewe mpaka nakishangaa.

Lakini kama nilivyosema, sisi wanaume tumeumbwa wa kuvutiwa na muonekano wa wanawake, na kwa namna mnavyovaa mavazi yenu siku hizi mnatutesa sana tunawavumilia tu, tunajikaza sana kutokuchepuka ila uzalendo ukizidi inabidi tu maana kuna wakati kama mwanaume nafikishwa na hizo hisia mpaka akili zinanihama nakua kama msukule fulani hivi, kwanza upate mdada wa watu amekupania, kawaida wanawake hamtutongozi moja kwa moja ila mnafanya vijimambo fulani hivi kabla nije kujishtukia nipo kwenye kifua chako najihemea.

Mimi binafsi kama nilivyosema hapo awali, punyeto zilikua zinanisaidia sana licha ya kuwa na mke kwa nyumba, maana mama watoto hayupo tayari tufanye kila siku, sasa inabidi nayamaliza mweyewe kisiri bila hata ya yeye kujua. Nikimuomba agome, moja kwa moja naondoka kwenda kumalizia bafuni yanaisha tunalala maana siku yote mchana nimeshinda nikikumbana na vishawishi halafu mke naye ndio hiyo siku hayuko tayari.
 
Ndiyooo. Yaani ukipita mwenyewe na likitambi lako; mchepuko unachekaje na mashoga zake jinsi usivyoiweza kazi: ils mwenyewe ndiyo unapita unajimbafy hofyoooo
daaah mama mchungaji traako moja tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hahaha!! Ingekua nasex kila niki-erect aisei uume wangu ungekua umeshakatika na kudondoka maana kwa siku linanyanyuka mara nyingi sana, huwa tunadindisha na kuvumilia hivyo hivyo tu siku inaisha, na ni kweli sio kila tunadindisha kisa tumeweka mawazo kwenye ngono, kuna wakati nakua sehemu niko busy kwenye kazi zangu wala sina mawazo ya sex ila ghafla kifaa kinanyanyuka chenyewe mpaka nakishangaa.

Lakini kama nilivyosema, sisi wanaume tumeumbwa wa kuvutiwa na muonekano wa wanawake, na kwa namna mnavyovaa mavazi yenu siku hizi mnatutesa sana tunawavumilia tu, tunajikaza sana kutokuchepuka ila uzalendo ukizidi inabidi tu maana kuna wakati kama mwanaume nafikishwa na hizo hisia mpaka akili zinanihama nakua kama msukule fulani hivi, kwanza upate mdada wa watu amekupania, kawaida wanawake hamtutongozi moja kwa moja ila mnafanya vijimambo fulani hivi kabla nije kujishtukia nipo kwenye kifua chako najihemea.

Mimi binafsi kama nilivyosema hapo awali, punyeto zilikua zinanisaidia sana licha ya kuwa na mke kwa nyumba, maana mama watoto hayupo tayari tufanye kila siku, sasa inabidi nayamaliza mweyewe kisiri bila hata ya yeye kujua. Nikimuomba agome, moja kwa moja naondoka kwenda kumalizia bafuni yanaisha tunalala maana siku yote mchana nimeshinda nikikumbana na vishawishi halafu mke naye ndio hiyo siku hayuko tayari.
Acha kujifariji wanaume Malaya hamna nguvu za kiume nwisho mwaishia kuwazalilisha wake zenu na michepuko kuwatia vidole tu
 
you should be able to show her that you can make a move anytime
Ndugu yangu labda uwe umemuokota kweli huyo mwanamke wa kumtishia nyau. Unahisi na yeye hawezi kuflirt au hana ubavu wa kumove on na mtu mwingine? Achana na mambo ya kuflirt, kwa sababu naamini ukikuta hayo kwa mwenzio roho itakukaa juu juu. Mnajitafutiaga presha za bureeee
 
Si mnasemaga ukikaa Nice guy unaboa eti😂
 
Usijali, siku ukimletea ngwengwe atajua tu. Kutokuamini kwa jamano haimaanishi kuwa halipo. Na anaweza asimroge ili akatafuta means ya kumtilia sumu. Huku kuna mchepuko ulinogewa ukamtumia mume vibaka, wakampiga na kitu kizito kichwani, alikuja kufa. Hata michepuko huwa inatamani ipindue meza iolewe yenyewe
Sijui , lakini mpaka namuoa nilikuwa nina wengine ambao waliendelea kuwa michepuko.
Maisha yanaendelea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom