Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumewaotea wapi nyie nyau?
Na msitutishie eti tutaonana kigoma. Labda mzee mpili na watu wake wawe wamekufaaa.
Subiri kipigo cha mbwa koko nadhani ndumba zenu zimetubamba leo
 
Hapo alipokuhakikishia hata kama alitaka kumla AMEAHIRISHA umeniacha hoi.

 
Subiri kipigo cha mbwa koko nadhani ndumba zenu zimetubamba leo
Huko kigoma ndo tutawaua kbs[emoji23][emoji23][emoji23] humbwa kbs. Leo hizi hasira muamshie dude jamaa sasa nafasi ndo hii
 
Unastahili kupata ulinzi kabisa kwasababu ya busara zako
 
Huyu mleta maada atakua hana kipato chake, kwao hali mbaya yeye ndo kaolewa na don, au alijibebesha mimba ili aolewe, au ana sura personal na km zimesoma sanaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost umepaniki povu limekutoka balaaa hapo kuna kimoja itakua kimekugusa sanaaa[emoji23][emoji38][emoji38] pole weee njaa mbaya
 
Unanichekesha sana kwahyo kutokureact kwa kuzua varangati ndo nati zimekatika. Ww utakua mwalimu wa kiswahili wana maneno ilimradi sentensi zao ziwe na kivumishi na kielezi basi wanaongea
Kua na adabu na walimu wa kiswahili maana wao wamekufundisha umeweza kusoma na kuandika.
 
Shoga bora useme wewe mchi nikisema mm kinu nitaambiwa nina mdomo mpana[emoji23][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23] shost amekuja kujifariji na comment za wanaume wachepukaji anasahau kuna magonjwa ya zinaa.
 
Huu ndo uwanamke sasa hiyo ndo maana ya kuwa Mama mwenye nyumba. Well done[emoji1547]mtumie msg huyo omba omba kwenye simu ya Mr mwambie sina pesa ya kukupa halafu piga block moja takatifu.
 
walahiii nimesoma mara mbili mbili nmebakia kutabasamu tu pepo umeiona dada tumia busara ktk hili usimwonee huruma i love youuuuuuuuuu ghafla hv hna mdogo wako te te te te
 
Wanaume wasamehewe makosa kama haya tusibugudhiwe sana maana siyo kupenda kwetu
 
Ukorofi. Ni huo ukoorofi wako[emoji23][emoji23]
Huo ni ukweli dia wanaume humu huwa wanadaganyana Sana Sasa na huyu mwenzetu Wana mu mislead kwa sifa za kijinga, kwa hzo indicator ajiandae tu kwa kweli, himaya yake imevamiwa tayari. Mume mchepukaji ukimfuma hata nyege hukata bana tusijifarijj
 
Sitaki utani na mume wangu, nimempa Kila kitu sitakubali kumpoteza kijinga jinga tu eti kisa anatimiza majukumu yake vizuri ya kutunza familia
shikilia hapohapo hawa michepuko wanatukomba pesa sana
 
Una akili sana wewe mwanamke. It rains every where. We hakikisha tu familia anahudumia vizuri. So usiwe na shida
 
Huo ni ukweli dia wanaume humu huwa wanadaganyana Sana Sasa na huyu mwenzetu Wana mu mislead kwa sifa za kijinga, kwa hzo indicator ajiandae tu kwa kweli, himaya yake imevamiwa tayari. Mume mchepukaji ukimfuma hata nyege hukata bana tusijifarijj
Na wako wanaomwambia ukweli hapa ukiangalia. Ila majority kwakua wamejawa na uzinzi ndo wanammislead mwenzetu. I just feel so sorry for her coz she seems so innocent. Huruma sana. And maybe ndo denial stage. Unajua kuna namna mnaishi na mwenzako ukajua anakucheat inakua ngumu kuamini eh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…