Jamani nimemuuliza hapa muda sio mrf na kwa sbb niliscreen short msg so nikampa ushahidi. Ameshtuka kwanza na akasema why unasachi simu yangu mie nikamwambia kuhusu kusachiwa simu hilo halina mjadala mie si mkewe?
so nisishike simu kwa sbb gani? So nikataka kujua what happened huyo dada wana issue gani nae. Akasema ni kweli wana mazoea but not love affair maybe na km ingetokea ingekua sio kwa akili yake anasema huyo bi dada aliomba apewe hela ya biashara kwa malipo badae sasa naamuuliza malipo ya papuchi? kasema hapana. Na anasema alipoomba hela ya mtaji alimjibu kuwa ntakupa but akawa anapotezea. So ndo jana anamkumbushia,nilichomwambia bado sijaridhika na maelezo yake ni bora akawa muwazi zaidi kasema hivyo ndivyo ilivyokua. Amenihakikishia hata kama alitaka kumla amehairisha. Nimemwambia maradhi mengi asije niua aisee