Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Mkuu wanawake kama wewe bado wapo kumbe,, nilifikiri waliishia kizazi cha nuhu...

Ngoja niendelee kutafuta
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
picha yako iwekwe kwenye salama condom zote nchini
 
Hauna mdogo wako nije kuoa ,maana wanawake dizain yako walikufa kwenye MV Bukoba wamemalizika juzi tu hapa na Corona
 
kabla sijacoment naomba kujua kama upo serious
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Kosa lako ni kukagua simu. Kwanini ukague simu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaaaah, usipochepuka mbona mimi na wewe tutaenda sawa. Ila ukijidai hauridhiki na papuchi yangu huku unategemea mimi niridhike na nanilii yako, utafeli.
Je kama nipo nataka muda wote maana wanawake huwa mnatoa papuchi pale mnataka na nini sisi wanaume tupo tofauti ndio maana tunachepuka...
 
Lazima nyumba iwake moto atambue ana mke. Nawasha moto mpaka nguvu zake za kiume zipungue ndio nauzima halafu na mimi natafuta miongoni mwa wale wanaonipendaga ila nawakataliaga kwa sababu naheshimu ndoa namkubalia mmoja. Hapo nyumbani amani ni shwariii.
Usishindane na mwanaume....utashindana na wamaume wangapi??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom