Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

Wewe huyo sio? Na leo uniote tena ila sio kunianzishia uzi
Yeah, mimi huyo! Unajua hata jpm wakati anachukua nchi aliitwa mlugaluga na mshamba.....Leo nafikiri anaongoza kutajwatajwa!!😊😊

Sawa, sitaanzisha tena humu kwa kila mmoja kuona.
 
1693261077092.jpg

Endelea kulala mkuu ila zingine njemba.
Acha njaa😂
 
Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.

Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika.

Nafanyaje hapa wadau na mimi hii ndoto imeshaingia akilini?!!!!!
Duuh
 
Back
Top Bottom