Nimemuota member wa JF mara mbili

Nimemuota member wa JF mara mbili

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena

Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
 
Back
Top Bottom