Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa sijui yupo honeymoon?Ndoto bora kabsa ya mwaka
Mtafute PM umwambie kinaga ubagajamaa sijui yupo honeymoon?
leo nina 90 mkuu kuna shida?Kuna member mmoja alisema eti ww una kilo 94
naogopa pm za watu unaweza ufumaniwe humoMtafute PM umwambie kinaga ubaga
hapana sikulia nilifurahia tuHukulia kweli ndotoni? Maana mahaba hayo
Naomba talaka yangu.looooookiiiiiii
sijawai kumuwaza hataUnamuwazaga au imetokea tu
hata kidogo simuwazi kweli naapaNdoto ni uwazacho, kwahiyo ulimuwaza sana ndio maana ukamuota.
Uzuri wako hata ubabe unauwezanaogopa pm za watu unaweza ufumaniwe humo
sio kwenye fumanizi bna.mume wa mtu sumuUzuri wako hata ubabe unauweza