Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
unatoa hutoi???[emoji32][emoji32][emoji32]sijawahi kufikiria nitampa talaka espy wangu
Umeisha lia mno, tumia macho ya rohoni ndiyo mumeo etii...! Maandiko yanasema mna macho ila hamuoni, fanyia kazi tafsiri hii ya ndoto yako.Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena
Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
ahaaaa alikukopa papuchi?Mbahili hawezi pata mke mzuri
siwezi kuoana nae hata kidogo .Umeisha lia mno, tumia macho ya rohoni ndiyo mumeo etii...! Maandiko yanasema mna macho ila hamuoni, fanyia kazi tafsiri hii ya ndoto yako.
But chukua tahadhari PRONDO anaweza piga papuchi akaikausha H2O afu akasepa..!
Hapana ukiongelea pesa hata salami anaogopa ha ha haahaaaa alikukopa papuchi?
wewe uilimpenda au ulitaka pesa?Hapana ukiongelea pesa hata salami anaogopa ha ha ha
Nilitaka pesa sema anaruka rukawewe uilimpenda au ulitaka pesa?
UmeniwahiNdoto ni uwazacho, kwahiyo ulimuwaza sana ndio maana ukamuota.
Hapo sasa......hapa kuna mapicha picha sio bureUmeniwahi
Halafu utamuotaje mtu ambae humjui
UmeonaeeHapo sasa......hapa kuna mapicha picha sio bure
Yah mamiiUmeonaee
Naomba talaka yangu.
Maybe wanajuana.Umeniwahi
Halafu utamuotaje mtu ambae humjui
jaman nimecheka hapa uwiii we ni chiz aisee km namuona wmanamke wa uswahilin kagombana na mumewe anaomba talaka kibarazani heheheh uwii u made my nite
HayaMaybe wanajuana.