Nimemuota member wa JF mara mbili

Nimemuota member wa JF mara mbili

Miss Natafuta umekuja na ka Style ka aina yake kutuletea Umbea wa Harusi[emoji3]
 
Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena

Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
Umeisha lia mno, tumia macho ya rohoni ndiyo mumeo etii...! Maandiko yanasema mna macho ila hamuoni, fanyia kazi tafsiri hii ya ndoto yako.

But chukua tahadhari PRONDO anaweza piga papuchi akaikausha H2O afu akasepa..!
 
siwezi kuoana nae hata kidogo .
 
Nafikiri sasa ni wakati mwafaka wa kumpalilia ili uendelee kumuota
 
Naomba talaka yangu.

jaman nimecheka hapa uwiii we ni chiz aisee km namuona wmanamke wa uswahilin kagombana na mumewe anaomba talaka kibarazani heheheh uwii u made my nite
 
jaman nimecheka hapa uwiii we ni chiz aisee km namuona wmanamke wa uswahilin kagombana na mumewe anaomba talaka kibarazani heheheh uwii u made my nite

Hahahaaaa!! Anipe talaka yangu nihamie kwa pampula wangu.
 
Back
Top Bottom