Hahahaaaa!! Anipe talaka yangu nihamie kwa pampula wangu.
Kama pesa ipo nakuhakikishia kuwa zoba kweli kweli, yaani hata akisema Tanzania ina mikoa miwili tu nitamjibu "kweli kabisa baba".ahahaha pampula hataki mwanamke anayependa kujitambua !hio weka kwanza akilini mwako !kwa majibu hayo yako ya akii akili tegemea kushindwana naye !anataka uwe unamkiliza kila kituuu anaamini yy ana akili na upeo mkubwaaaaaaa
Kama pesa ipo nakuhakikishia kuwa zoba kweli kweli, yaani hata akisema Tanzania ina mikoa miwili tu nitamjibu "kweli kabisa baba".
Kuitikia tu hakuna shida, ila kuwe na motivation ya kuitikia. Kama hamna tutabishana tu.espy namlaza mtoto nimecheka kwa ngv jaman ! hahaha bas hizo mambo mwenzako anapenda uwe unaitikia tu !hahaha sasa wewe bisha uone !hahahahhha uwiii ! ngj utaishi nae utajua km pesa anayo anaitumiaje au hana lol