MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Hahahaaaa!! Anipe talaka yangu nihamie kwa pampula wangu.
ahahaha pampula hataki mwanamke anayependa kujitambua !hio weka kwanza akilini mwako !kwa majibu hayo yako ya akii akili tegemea kushindwana naye !anataka uwe unamkiliza kila kituuu anaamini yy ana akili na upeo mkubwaaaaaaa