Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

Myfriend

Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
62
Reaction score
90
Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana.

Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote kinachoendelea, ktk Hali hii ubongo wa binadam huendelea kufanya kazi,na Moja ya kazi ni kuchakata taarifa zinazopita ktk ubongo.Taarfa zinazosisimua huonekana kama ndoto,na huu ndo wakati pia Mungu hufunua maono Kwa watu wake.

Leo usiku nimeshangazwa sana na ndoto niliyoota,sijawahi kuota ndoto za namna hii,na sijui nn kimepelekea kuota hii ndoto,nimeamua niipandishe hii story ya ndoto ktk jukwaa Kwa sababu jukwa hili limeshehen wajuzi wa maswala mbalimbali, labda wajuzi wa ndoto wanaweza kutusaidia.

Usku wa Leo nmeota spika msaafu Job Ndugai..Nimeona akiwa na daftari la kijani,akiwa ktk mkusanyiko wa watu waliovaa nguo za kijan na walionekana wamenawiri,Ikatokea kiti kilichokuwa wazi kimevikwa Mataji,ikionekana kama kiti Cha heshima, Sauti kuu yenye mamlaka ilisikika ktk kiti hicho lkn sikumuona anayeongea na Wala ule mkusanyiko haukumuona anayetoa Sauti lkn Cha ajabu wale watu walikuwa wakishangilia sana.

Nikamuona tena mtu mmja ambaye aliingia lkn kavalia nguo nzito sana ya kijan akiongea na kumfata Ndugai Kwa kumshika mkono,huyu mtu alikuwa akitoa miba mdomoni mwake,iliwachoma watu waliokarbu na kile kiti Cha hadhi lkn walivumilia na walikuwa wakinong'ona Sauti ambazo hazikusikika,alionekana kujua Kila kitu na Kila kitu alitaka akiseme yeye, ilisikika Sauti ya mamlaka kumzuia asiongee tena lkn aliendelea kuongea.

Ghafla nikaona wingu kubwa,mvua na radi kubwa ikanyesha Kwa dakika kama 5,naghafla pakawa shwari...nilipotazama sikuona wale watu na Yale mavazi lkn niliona kundi jingne kubwa likija likiwa na mavazi yenye rangi nyingi,Kila mmja na vazi lake na wap ndo walikalia hivo viti,lkn kile kiti alikaa mtu ambaye alionekana anamguu mmja na alionekana anahasira sana.

Ghafla ndoto yangu hii ikakatizwa na mwanangu aliyekuwa analia na nikatoka ktk usingizi,mwanangu alikuwa amechemka sana na alkuwa na homa, mpaka sasa nipo nae hospital mwananyamara lkn Hali yake si nzuri kabisa huenda akapata rufaa kwenda muhimbili.
 
Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana.

Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote kinachoendelea, ktk Hali hii ubongo wa binadam huendelea kufanya kazi,na Moja ya kazi ni kuchakata taarifa zinazopita ktk ubongo.Taarfa zinazosisimua huonekana kama ndoto,na huu ndo wakati pia Mungu hufunua maono Kwa watu wake.

Leo usiku nimeshangazwa sana na ndoto niliyoota,sijawahi kuota ndoto za namna hii,na sijui nn kimepelekea kuota hii ndoto,nimeamua niipandishe hii story ya ndoto ktk jukwaa Kwa sababu jukwa hili limeshehen wajuzi wa maswala mbalimbali, labda wajuzi wa ndoto wanaweza kutusaidia.

Usku wa Leo nmeota spika msaafu Job Ndugai..Nimeona akiwa na daftari la kijani,akiwa ktk mkusanyiko wa watu waliovaa nguzo za kijan na walionekana wamenawiri,Ikatokea kiti kilichokuwa wazi kimevikwa Mataji,ikionekana kama kiti Cha heshima, Sauti kuu yenye mamlaka ilisikika ktk kiti hicho lkn sikumuona anayeongea na Wala ule mkusanyiko haukumuona anayetoa Sauti lkn Cha ajabu wale watu walikuwa wakishangilia sana.

Nikamuona tena mtu mmja ambaye aliingia lkn kavalia nguzo nzito sana ya kijan akiongea na kumfata Ndugai Kwa kumshika mkono,huyu mtu alikuwa akitoa miba mdomoni mwake,iliwachoma watu waliokarbu na kile kiti Cha hadhi lkn walivumilia na walikuwa wakinong'ona Sauti ambazo hazikusikika,alionekana kujua Kila kitu na Kila kitu alitaka akiseme yeye, ilisikika Sauti ya mamlaka kumzuia asiongee tena lkn aliendelea kuongea.

😂😂😂😂😂
 
Kiti “urais”
Mtu mwenye mguu mmoja ( mwanaume)
Mwenye hasira sana…?
Mwenye nguo nzio ya kijani ( paul makonda)
Waliokaa kwenye viti …WABUNGE
 
Kwa uchache, mtikisiko unakivuruga chama Cha KIJANI, wanakuja kukaliwa viti watu wenye nguo zenye RANGI nyingi, CDM.

Ndugai pia anaweza timkia upinzani baada ya kushindwa kufurukuta ndani ya chama Chao.
 
Aliyekuwa akiongea saut kutok kwny kiti (SM)

"Waliokalia viti ni mjumuiko wa Wabunge plus mawaziri"

!!! Kwamba Wenye mavazi ya Rangi nyingi ni Chadema na Mwenye Mguu mmoja aliyekalia kiti ni makamu wa CDM Bwana TLS ? Au Code nmeshndwa kuzifungua
kavalia nguzo nzito sana ya kijan akiongea na kumfata Ndugai Kwa kumshika mkono,huyu mtu alikuwa akitoa miba mdomoni mwake,iliwachoma watu waliokarbu na kile kiti Cha hadhi lkn walivumilia na walikuwa wakinong'ona Sauti ambazo hazikusikika,alionekana kujua Kila kitu na Kila kitu alitaka akiseme yeye, ilisikika Sauti ya mamlaka kumzuia asiongee tena lkn aliendelea kuongea.
Hapa unamaanisha Konda(mwenye nguo nzito ya kijani) ,

Kutoa miiba mdomoni inamaanisha Maneno/amri ambazo amekuwa akizitoa katka Hotuba zake, waliokuwa karbu na kiti walinong'ona inamaanisha walikuwa wakimsema au kumsengenya kutokan na Hotuba au amri zake,

Nimeishia hapo kwngine malizieni. Naweza nikawa sahihi au sio sahihi ila nimejaribu tu kwa uelewa wangu.
 
Nafungua codes:
1. Mwenye kutoa miiba mdomoni =Konda boy.
2. Kiti chenye mamlaka= Citzen one (refer USA huwa ndege anayo panda Citzen one huitwa Airforce one).
3.Kushika kitabu cha kijani na kuandika maneno machache= Katibu mkuu
4.Yule mwenye mguu mmoja=T.A.L
 
Aliyekuwa akiongea saut kutok kwny kiti (SM)

"Waliokalia viti ni mjumuiko wa Wabunge plus mawaziri"

!!! Kwamba Wenye mavazi ya Rangi nyingi ni Chadema na Mwenye Mguu mmoja aliyekalia kiti ni makamu wa CDM Bwana TLS ? Au Code nmeshndwa kuzifungua

Hapa unamaanisha Konda(mwenye nguo nzito ya kijani) ,

Kutoa miiba mdomoni inamaanisha Maneno/amri ambazo amekuwa akizitoa katka Hotuba zake, waliokuwa karbu na kiti walinong'ona inamaanisha walikuwa wakimsema au kumsengenya kutokan na Hotuba au amri zake,

Nimeishia hapo kwngine malizieni. Naweza nikawa sahihi au sio sahihi ila nimejaribu tu kwa uelewa wangu

Aliyekuwa akiongea saut kutok kwny kiti (SM)

"Waliokalia viti ni mjumuiko wa Wabunge plus mawaziri"

!!! Kwamba Wenye mavazi ya Rangi nyingi ni Chadema na Mwenye Mguu mmoja aliyekalia kiti ni makamu wa CDM Bwana TLS ? Au Code nmeshndwa kuzifungua

Hapa unamaanisha Konda(mwenye nguo nzito ya kijani) ,

Kutoa miiba mdomoni inamaanisha Maneno/amri ambazo amekuwa akizitoa katka Hotuba zake, waliokuwa karbu na kiti walinong'ona inamaanisha walikuwa wakimsema au kumsengenya kutokan na Hotuba au amri zake,

Nimeishia hapo kwngine malizieni. Naweza nikawa sahihi au sio sahihi ila nimejaribu tu kwa uelewa wangu.
Kama kweli hivi
 
Nafungua codes:
1. Mwenye kutoa miiba mdomoni =Konda boy.
2. Kiti chenye mamlaka= Citzen one (refer USA huwa ndege ansuo panda Citzen one huitwa Airforce one).
3.Kushika kitabu cha kijani na kuandika maneno machache= Katibu mkuu
4.Yule mwenye mguu mmoja=T.A.L
Mmmh
 
Ghafla ndoto yangu hii ikakatizwa na mwanangu aliyekuwa analia na nikatoka ktk usingizi,mwanangu alikuwa amechemka sana na alkuwa na homa, mpaka sasa nipo nae hospital mwananyamara lkn Hali yake si nzuri kabisa huenda akapata rufaa kwenda muhimbili.
Pia huu mstari sio bure kuna kitu umemaanisha nimekijua..... ila sitotaja naupa Muda utaleta ukweli
 
Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana.

Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote kinachoendelea, ktk Hali hii ubongo wa binadam huendelea kufanya kazi,na Moja ya kazi ni kuchakata taarifa zinazopita ktk ubongo.Taarfa zinazosisimua huonekana kama ndoto,na huu ndo wakati pia Mungu hufunua maono Kwa watu wake.

Leo usiku nimeshangazwa sana na ndoto niliyoota,sijawahi kuota ndoto za namna hii,na sijui nn kimepelekea kuota hii ndoto,nimeamua niipandishe hii story ya ndoto ktk jukwaa Kwa sababu jukwa hili limeshehen wajuzi wa maswala mbalimbali, labda wajuzi wa ndoto wanaweza kutusaidia.

Usku wa Leo nmeota spika msaafu Job Ndugai..Nimeona akiwa na daftari la kijani,akiwa ktk mkusanyiko wa watu waliovaa nguzo za kijan na walionekana wamenawiri,Ikatokea kiti kilichokuwa wazi kimevikwa Mataji,ikionekana kama kiti Cha heshima, Sauti kuu yenye mamlaka ilisikika ktk kiti hicho lkn sikumuona anayeongea na Wala ule mkusanyiko haukumuona anayetoa Sauti lkn Cha ajabu wale watu walikuwa wakishangilia sana.

Nikamuona tena mtu mmja ambaye aliingia lkn kavalia nguzo nzito sana ya kijan akiongea na kumfata Ndugai Kwa kumshika mkono,huyu mtu alikuwa akitoa miba mdomoni mwake,iliwachoma watu waliokarbu na kile kiti Cha hadhi lkn walivumilia na walikuwa wakinong'ona Sauti ambazo hazikusikika,alionekana kujua Kila kitu na Kila kitu alitaka akiseme yeye, ilisikika Sauti ya mamlaka kumzuia asiongee tena lkn aliendelea kuongea.

Ghafla nikaona wingu kubwa,mvua na radi kubwa ikanyesha Kwa dakika kama 5,naghafla pakawa shwari...nilipotazama sikuona wale watu na Yale mavazi lkn niliona kundi jingne kubwa likija likiwa na mavazi yenye rangi nyingi,Kila mmja na vazi lake na wap ndo walikalia hivo viti,lkn kile kiti alikaa mtu ambaye alionekana anamguu mmja na alionekana anahasira sana.

Ghafla ndoto yangu hii ikakatizwa na mwanangu aliyekuwa analia na nikatoka ktk usingizi,mwanangu alikuwa amechemka sana na alkuwa na homa, mpaka sasa nipo nae hospital mwananyamara lkn Hali yake si nzuri kabisa huenda akapata rufaa kwenda muhimbili.
Usiwe unavuta bangi dakika chache kabla ya kulala.
 
Back
Top Bottom