Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana.
Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote kinachoendelea, ktk Hali hii ubongo wa binadam huendelea kufanya kazi,na Moja ya kazi ni kuchakata taarifa zinazopita ktk ubongo.Taarfa zinazosisimua huonekana kama ndoto,na huu ndo wakati pia Mungu hufunua maono Kwa watu wake.
Leo usiku nimeshangazwa sana na ndoto niliyoota,sijawahi kuota ndoto za namna hii,na sijui nn kimepelekea kuota hii ndoto,nimeamua niipandishe hii story ya ndoto ktk jukwaa Kwa sababu jukwa hili limeshehen wajuzi wa maswala mbalimbali, labda wajuzi wa ndoto wanaweza kutusaidia.
Usku wa Leo nmeota spika msaafu Job Ndugai..Nimeona akiwa na daftari la kijani,akiwa ktk mkusanyiko wa watu waliovaa nguo za kijan na walionekana wamenawiri,Ikatokea kiti kilichokuwa wazi kimevikwa Mataji,ikionekana kama kiti Cha heshima, Sauti kuu yenye mamlaka ilisikika ktk kiti hicho lkn sikumuona anayeongea na Wala ule mkusanyiko haukumuona anayetoa Sauti lkn Cha ajabu wale watu walikuwa wakishangilia sana.
Nikamuona tena mtu mmja ambaye aliingia lkn kavalia nguo nzito sana ya kijan akiongea na kumfata Ndugai Kwa kumshika mkono,huyu mtu alikuwa akitoa miba mdomoni mwake,iliwachoma watu waliokarbu na kile kiti Cha hadhi lkn walivumilia na walikuwa wakinong'ona Sauti ambazo hazikusikika,alionekana kujua Kila kitu na Kila kitu alitaka akiseme yeye, ilisikika Sauti ya mamlaka kumzuia asiongee tena lkn aliendelea kuongea.
Ghafla nikaona wingu kubwa,mvua na radi kubwa ikanyesha Kwa dakika kama 5,naghafla pakawa shwari...nilipotazama sikuona wale watu na Yale mavazi lkn niliona kundi jingne kubwa likija likiwa na mavazi yenye rangi nyingi,Kila mmja na vazi lake na wap ndo walikalia hivo viti,lkn kile kiti alikaa mtu ambaye alionekana anamguu mmja na alionekana anahasira sana.
Ghafla ndoto yangu hii ikakatizwa na mwanangu aliyekuwa analia na nikatoka ktk usingizi,mwanangu alikuwa amechemka sana na alkuwa na homa, mpaka sasa nipo nae hospital mwananyamara lkn Hali yake si nzuri kabisa huenda akapata rufaa kwenda muhimbili.