La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Huyu jamaa ni fara wala hafai kuwepo kwenye taasisi ya ndoa. Hata mimi ambae sijaoa siwezi kuwa duanzi kiasi hicho.Boya wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni fara wala hafai kuwepo kwenye taasisi ya ndoa. Hata mimi ambae sijaoa siwezi kuwa duanzi kiasi hicho.Boya wewe
Anakera sanaHuyu jamaa ni fara wala hafai kuwepo kwenye taasisi ya ndoa. Hata mimi ambae sijaoa siwezi kuwa duanzi kiasi hicho.
Sasa mkuu badala ya kumshauri ndio unamtukana?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Boya wewe
Soma maandiko ya dini mkuu,kama kiungo chako kimoja kinakusababisha utende dhambi ni bora ukikate hicho kiungo ili uweze kuurithi ufalme wa mbinguni,acha zinaa mkuu,hayo mambo hayana siri iko siku utadakwa tu,na inawezekana ni malaika wako anajaribu kukuepusha na huyo mwanamke anaweza kuwa ana ngwengwe wewe bado unalazimisha...Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, cjui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafk ake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafk ake alienda akasahau simu kwa mke wang na msg tulzochati zimeonekana, mke wang amenilaumu sana kwann namfanyia hivi tena kwa rafiki ake kabsa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafk ake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitete vipi nipen mbinu basi?
Sina cha kumshauri... atapata kwa wengineSasa mkuu badala ya kumshauri ndio unamtukana?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, cjui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafk ake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafk ake alienda akasahau simu kwa mke wang na msg tulzochati zimeonekana, mke wang amenilaumu sana kwann namfanyia hivi tena kwa rafiki ake kabsa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafk ake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitete vipi nipen mbinu basi?
Hawezi hadi afungiwe 'spidi gavana'Changamoto sana..jifunze kuridhika na mkeo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwakweli tamaa mbaya sana. Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria. Subiri zamu yako sasa akigeuza kibao ndiyo utajua jinsi gani alikuwa anaumia.Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, cjui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafk ake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafk ake alienda akasahau simu kwa mke wang na msg tulzochati zimeonekana, mke wang amenilaumu sana kwann namfanyia hivi tena kwa rafiki ake kabsa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafk ake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitete vipi nipen mbinu basi?
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
Mwache mkeo uwe na rafiki yake.Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
Nigga jus omba radhi ila maamuz atakayochukua mkeo usilaum maana now umeshikilia makali mzee mpini anao mama watotoKawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!
Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
Matatizo ya kujulia mapenzi ukubwani haya.Hivi hawa wanakuwa wameoa kweli au maigizo?
Yani huyu ni baba wa familia?
Huyu boya ndie anaefanya WANAUME WOTE TUONEKANE MBWABoya wewe