Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

Wise words from a great thinker

maneno kama haya huwa yana nguvu na yamebeba maana nzito hasa kwa kuwa yamesemwa na jinsia husika

amina sana mkuu
Nashukuru kwa pongezi, Ni heri wale wanaotambua wamesimama wapi maana hata shetani kuwajaribu sio rahisi..

Mkuu ninachoamini mimi ya kuwa sisi wanaume tunaweza kukaa bila kutamani kuishi maisha ya michepuko, usaliti na uhuni maana pia shetani huwa anaangalia unawaza nini na udhaifu wako upo wapi,

Utasikia wanaume wengi huwa wanasema ni ngumu kujizuia kuto kucheat hapo tayari umeshakili udhaifu kwanini sasa shetani ashindwe kukuangusha kwenye hiyo dhambi?

Tamaa huanza kwenye akili, then machoni then unatengeneza hisia akilini inakuja mwilini mpaka moyoni na moyo unadunda kwa kasi na bwana mdogo chini anasimama ukiangalia mpaka kufikia hapo umeshaangamia,

Wanaume kuishi na mwanamke mmoja inawezekana ni mind set tu
 
Amina mkuu hata sina nyongeza,umemaliza yote
 
Dhambi ya uchepukaji huwa inaondoa baraka sana, ukiona mwanaume una mke hakafu ulikua umefanikiwa sana kifedha mali baada ya hapo ukaanza kufirisika,

Adui namba moja ni michepuko, kama mkeo hakusaliti then wewe unamsaliti aisehhh nimeona wengi Mungu anawavyoacha wanaanguka katika mikono ya shetani mali zote zinapotea unarudi kwenye ufukara umasikini, wanaume mjifunze kwa hili
 
Ukichepuka alafu ukakamatwa na wife unakuwa fala kabisa ndani ya nyumba. Nina jamaa yangu msg zilikamatwa yaani anatia huruma.
 
Good, hizo ni tabia zake yeye wapo wenye hofu ya Mungu, hajui tu anavyoacha laana kwa vizazi vyake vyoteee. Ndo maana wanawake sometimes hatupendi kuvumilia shida na mwanaume manake akipata tu ni shidaa
Ni kweli mama terry, nimeishi na kuziona familia nyingi tu zinazoishi kwa kuheshimiana sana na wamekua na mafanikio sana na mwanaume akiwa mwaminifu sana,...

Maana mwanaume kama kichwa cha familia akianza kuwa mfano wa kuto msaliti mke wake basi automatically mwanamke nae atafuata tu hata kama mwanamke alikua ni muhuni, mwanaume ni Kristo katika familia, tunatakiwa tuishi kwa mifano na the rest of family members mama na watoto, maana wote watafuata na kusikiliza yale anayoyasimamia baba,

watoto watakua kwenya maadili mema na kujifunza kwa baba yao na mama, wakikua nao watayaishi yale waliyoyaona kwa baba zao so nikitu cha kurithishana,

Ndiyo maana tunasema familia/ndoa ni taasisi..
 
Uzinzi/uasherati una asili ya kutapanya.

Dhambi ya uchepukaji huwa inaondoa baraka sana, ukiona mwanaume una mke hakafu ulikua umefanikiwa sana kifedha mali baada ya hapo ukaanza kufirisika,

Adui namba moja ni michepuko, kama mkeo hakusaliti then wewe unamsaliti aisehhh nimeona wengi Mungu anawavyoacha wanaanguka katika mikono ya shetani mali zote zinapotea unarudi kwenye ufukara umasikini, wanaume mjifunze kwa hili
 
Ni kweli mama terry, nimeishi na kuziona familia nyingi tu zinazoishi kwa kuheshimiana sana na wamekua na mafanikio sana na mwanaume akiwa mwaminifu sana,...

Maana mwanaume kama kichwa cha familia akianza kuwa mfano wa kuto msaliti mke wake basi automatically mwanamke nae atafuata tu hata kama mwanamke alikua ni muhuni, mwanaume ni Kristo katika familia, tunatakiwa tuishi kwa mifano na the rest of family members mama na watoto, maana wote watafuata na kusikiliza yale anayoyasimamia baba,

watoto watakua kwenya maadili mema na kujifunza kwa baba yao na mama, wakikua nao watayaishi yale waliyoyaona kwa baba zao so nikitu cha kurithishana,

Ndiyo maana tunasema familia/ndoa ni taasisi..
Asante sanaa, but siku hiz akina baba wanaona sifa kuwaambia watoto wao wa kiume kuwa mwanaume huwez kukaa bila kucheat, Mungu atuhurumie
 
Tamaa mzee shida ni tamaa, hivi kwanini huwa mnapenda kusema wanaume sisi hatuwezi kuishi na mwanamke mmoja hiyo mentality aliekuambia nani, ulisikia wapi, jisemee nafsi yako mkuu, sema wewe huwezi kukaa na mwanamke mmoja, ni kujiendekeza tu
Na hiyo mentality ameambiwa na shetani. Ni statement ya kijinga sana. Asante sana kwa kulisema vizuri. Kitu kingine ambacho men and women have to understand ni kwamba wagonjwa wengi wa ukimwi ni wale ambao hawajapima afya zao. Married women wajitahidi pia kufanya sex with their husbands in a frequent manner. Tabia ya kuzaa na kubweteka na kubadilisha all the attention kwa watoto ni ya hovyo sana.
 
Huwezi kupiga tongozo kwa watu wa mbali mpaka uwe naye karibu?
Tafuta rafiki useme alitumia simu yako.wewe hujui.
 
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.

Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!

Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyew....
 
Mbinu ya kwanza mle,mbinu ya 2 muoe
 
Na hiyo mentality ameambiwa na shetani. Ni statement ya kijinga sana. Asante sana kwa kulisema vizuri. Kitu kingine ambacho men and women have to understand ni kwamba wagonjwa wengi wa ukimwi ni wale ambao hawajapima afya zao. Married women wajitahidi pia kufanya sex with their husbands in a frequent manner. Tabia ya kuzaa na kubweteka na kubadilisha all the attention kwa watoto ni ya hovyo sana.
YAANI WEWE BIDADA WAJITAMBUA HADI RAHA...
 
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.

Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!

Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
KENGE WEWE
 
Hakuna mwanaume asiemsaliti mke wake kwenye hii kauli yako mimi nitoe

waweke wanaume wengine mimi fanya kunitenga na dhambi cheap cheap hizo

nafanya zile heavy duty dhambi hivyo vidhambi vyakukosa la kujitetea badae sifanyagi asee...
WOYOOOOO
 
Back
Top Bottom