Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

make sure unamgonga huyo rafiki yake. Usikubali kupewa lawama bure. Mie mke wangu akinituhumu natembea na demu falni lazima nimtongoze huyo demu nimle ili lawama ziwe za kweli sio unasumbuliwa na kitu hujafanya
 
S
Soma maandiko ya dini mkuu,kama kiungo chako kimoja kinakusababisha utende dhambi ni bora ukikate hicho kiungo ili uweze kuurithi ufalme wa mbinguni,acha zinaa mkuu,hayo mambo hayana siri iko siku utadakwa tu,na inawezekana ni malaika wako anajaribu kukuepusha na huyo mwanamke anaweza kuwa ana ngwengwe wewe bado unalazimisha...
 

You are paying the cost of your stupidity! Namwonea tu huruma Huyo mke wako, ila wewe wala Hata kidogo! Pay the cost of your stupidity! Tunakushauri nini sasa wakati unafikiri kila mwanaume Anatoka nje ya ndoa? Wengine hawatoki, wanaotoka watakuja wakupe moyo!
 
Kwakweli tamaa mbaya sana. Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria. Subiri zamu yako sasa akigeuza kibao ndiyo utajua jinsi gani alikuwa anaumia.
 
Andazi kabisa...


#dumesuruali...
 
Mwache mkeo uwe na rafiki yake.
 
Nigga jus omba radhi ila maamuz atakayochukua mkeo usilaum maana now umeshikilia makali mzee mpini anao mama watoto
 
Huyo rafikie ana nin haswa mpaka kinakuchachawisha hivyo! [emoji849]
 
Hivi hawa wanakuwa wameoa kweli au maigizo?

Yani huyu ni baba wa familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…