Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Deuces Lyrics
All that bullshit's for the birds
You aint nothin but a vulture
Always hopin for the worst
Waiting for me to **** up
Youll regret the day when I find another girl, yeah
Who knows just what I need, she knows just what I mean
When I tell her keep it drama free
Ohohohohohohohoh x2(Chuckin up them(deuces)
I told you that im leaving (deuces)
I know you mad but so what?
I wish you best of luck
And now im finna throw them deuces up............
Magulumangu.....ninachoweza kusema ni kuwa wewe si mfugaji mzuri umekurupukia mifugo usoiweza........wangapi tumewaona wamechukua mikunguru tena ile ya zanzibar na wameibadilisha ikawa njiwa kama wale waofugwa enzi za wana Israel wakati njiwa wakiitwa Hua.Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego kulikamata, Sasa Natangaza rasmi, NIMELIAHIA KUNGURU mwenye mtego alinase.....
lIAMBIE SAFARI NJEMA YA KUPATA MWINGINE KAMA WEWE!
Magulumangu.....ninachoweza kusema ni kuwa wewe si mfugaji mzuri umekurupukia mifugo usoiweza........wangapi tumewaona wamechukua mikunguru tena ile ya zanzibar na wameibadilisha ikawa njiwa kama wale waofugwa enzi za wana Israel wakati njiwa wakiitwa Hua.
pole
Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego kulikamata, Sasa Natangaza rasmi, NIMELIAHIA KUNGURU mwenye mtego alinase.....
Midege mingine haifugiki jamani..!!
Kunguru halitaka watunga Verse mkuu, linataka wazee wa EPA maana minyama kwao litapata....Limepaa Kunguru kwenda Unguja kwa mashehe
Midege mingine haifugiki jamani..!!
Kabla hujamwacha alikua kasuku?
Haya mambo mengine jamani... Kwani huwezi kusema umemwacha Kasuku?
Ni kweli kwa mashehe.....ila masheikh wapenda Njiwa.
Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego kulikamata, Sasa Natangaza rasmi, NIMELIAHIA KUNGURU mwenye mtego alinase.....
unamuongelea kunguru au mtu? nieleweshe mie
kiswahili saa zingine kigumu, asante kunieleweshaKunguru asiefugika mkuu, kiswahili vipi weye ulikuwa unakula kona nini?
kunguru ana wenyewe, humuwezi asilani
atakutia kiwewe, kuzidi umasikini
ulimtega mwenyewe, sielewi ni kwanini
una matatizo wewe, kutojuwa vya thamani?
limtegea mizoga, hilo pia ni tatizo
nyamu tamu ametega, jamaa kaja anazo
wajua kunguru mwoga, ila bingwa wa mizozo
amevunja lako bega, mwishowe mepata wazo