Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Msiogope mkuu ingieni tu kuna raha yake pia!!Hongera sn,zidisheni upendo na maelewano jamani.Yatokeayo yanatisha,sie tulio bado tunaogopaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiogope mkuu ingieni tu kuna raha yake pia!!Hongera sn,zidisheni upendo na maelewano jamani.Yatokeayo yanatisha,sie tulio bado tunaogopaaaaa
Mmh balaaMsiogope mkuu ingieni tu kuna raha yake pia!!
Umechagua fungu lilo jema otherwise Risasi saba au gunia mbili za mkaa zingekuja kuhusika baadae.Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Hapa ndio nashindwa kuwaelewa why amdharua mtu anayemweka vizuri si ndio alitakiwa ampende full full 110%.Dharau zilianzia hapo kwenye kumsomesha na kumfungulia biashara
Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Mambo yao waachie wenyewe yasikuumize kichwaKaka ... Umekisikia kisa Cha mwanza ... Mimi na yule nani mwanaume!!?? Mwanamke alinidharau pakubwa mno ... Nkasema poa kanizalia watoto ..nkaondoka .... Tangu napost hii thread mpaka Leo tumekaaa vikao vingi mnoo anaomba msamaha ...na mwanaume aliyekuwa ana mpa KIBURI amemuacha ... ... Ana haha mjini tu ... Mali nimemuachia heshima kapoteza .... Vikao ni vingi .... Turudiane ... Ningekuwa na risasi na hasira zile !!? Hata Kwa kisu ningeweza kumuua...ila nilimpenda sana ..hata humu nilieleza ... Nikaamua kumuacha amenizalia watoto wawili wakiume wa kwanza na WA kike wa pili ... Nikasema nimuachie Mali awalee wanangu ila sitokaa naye tena Kwa usaliti alionifanyia... MKANIONA BOYA!!??? MI NI GENTLEMAN...
Pole sana kaka yangu, hii dunia ina changamoto nyingi sana, mahusiano na ndoa vimekuwa jehenam kila kona, mauaji ukatili wa kutisha na mafarakano mengi yanatokea kwenye sehemu hii, yani ni kilio kila kona, wale tuwapendao na kuwathamini wamegeuka kuwa chanzo cha kilio kwetu, story yako imenisikitisha sana kwa sababu umeandika kwa hisia mno, japo cjajua kwa upande wa pili,mapenzi yanaumiza sana pale unapojitoa kwa mtu mwingine af yete hata hajali, mimi nilishawahi kumgharamikia mtu sababu tu nilimpenda, nikamvumilia kwa kila kitu, siku akikosa natafuta tunakula, matatizo yake na ya familia yake niliyachukulia kama yangu, nilimthamini na kuwa mwaminifu kwake bila kuwa na tamaa ya pesa kwa mtu mwingine, lakini kilichonikuta Mungu mwenyewe ndo anajua, nilitamani hadi kujiua lkn nilimuomba Mungu hadi saivi nipo, so mi naamini Mungu atakusaidia utapata mwingine atakayekupenda kuliko huyo wa mwanzo, trust meYaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Mkuu...Kaka ... Umekisikia kisa Cha mwanza ... Mimi na yule nani mwanaume!!?? Mwanamke alinidharau pakubwa mno ... Nkasema poa kanizalia watoto ..nkaondoka .... Tangu napost hii thread mpaka Leo tumekaaa vikao vingi mnoo anaomba msamaha ...na mwanaume aliyekuwa ana mpa KIBURI amemuacha ... ... Ana haha mjini tu ... Mali nimemuachia heshima kapoteza .... Vikao ni vingi .... Turudiane ... Ningekuwa na risasi na hasira zile !!? Hata Kwa kisu ningeweza kumuua...ila nilimpenda sana ..hata humu nilieleza ... Nikaamua kumuacha amenizalia watoto wawili wakiume wa kwanza na WA kike wa pili ... Nikasema nimuachie Mali awalee wanangu ila sitokaa naye tena Kwa usaliti alionifanyia... MKANIONA BOYA!!??? MI NI GENTLEMAN...
We ndio wale wale pasua kichwaKwamba kutooa mwanamke ndo utakuwa umekwepa hizo changamoto?
Muoane nyie kwa nyie ndo hamtapata changamoto za ndoa
Kwahiyo nikusaidieje?We ndio wale wale pasua kichwa
[emoji867][emoji90]Kwahiyo nikusaidieje?
🚮🚮🚮[emoji867][emoji90]
Na mie leo naanza upyaStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Mimi ni mkatoliki pia lqkini nilopiga chini sitaki us*******nge.Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Tuna watoto wa3 ..wawili Me Mmoja Ke.... Viwanja nimenunua Mimi ... Nyumba kubwa nimejenga Mimi ..nyumba mbili ndogo tumesaidiana....... Swali la 3 sijalielewaInasikitisha...
Nina maswali kadhaa...
1. Mna watoto?
2. Mali hizo mmechuma wote?
3. Swala hili lilizubgumzwa kifamilia?
Upo ndoani ???We ndio wale wale pasua kichwa
Uamuzi wa kiume sana. All the best..!!!Stori isiwe ndefu.