Nimemwachia mali zote, naanza upya

Umechagua fungu lilo jema otherwise Risasi saba au gunia mbili za mkaa zingekuja kuhusika baadae.
 

Pole kwa changamoto kaka, tupo wengi
 
Mambo yao waachie wenyewe yasikuumize kichwa
 
Pole sana kaka yangu, hii dunia ina changamoto nyingi sana, mahusiano na ndoa vimekuwa jehenam kila kona, mauaji ukatili wa kutisha na mafarakano mengi yanatokea kwenye sehemu hii, yani ni kilio kila kona, wale tuwapendao na kuwathamini wamegeuka kuwa chanzo cha kilio kwetu, story yako imenisikitisha sana kwa sababu umeandika kwa hisia mno, japo cjajua kwa upande wa pili,mapenzi yanaumiza sana pale unapojitoa kwa mtu mwingine af yete hata hajali, mimi nilishawahi kumgharamikia mtu sababu tu nilimpenda, nikamvumilia kwa kila kitu, siku akikosa natafuta tunakula, matatizo yake na ya familia yake niliyachukulia kama yangu, nilimthamini na kuwa mwaminifu kwake bila kuwa na tamaa ya pesa kwa mtu mwingine, lakini kilichonikuta Mungu mwenyewe ndo anajua, nilitamani hadi kujiua lkn nilimuomba Mungu hadi saivi nipo, so mi naamini Mungu atakusaidia utapata mwingine atakayekupenda kuliko huyo wa mwanzo, trust me
 
Mkuu...
ningekua katika nafasi yako ningefanya hivo hivo hata usiwaze mkuu...
 
Na mie leo naanza upya
 
Mimi ni mkatoliki pia lqkini nilopiga chini sitaki us*******nge.
 
Inasikitisha...
Nina maswali kadhaa...
1. Mna watoto?
2. Mali hizo mmechuma wote?
3. Swala hili lilizubgumzwa kifamilia?
Tuna watoto wa3 ..wawili Me Mmoja Ke.... Viwanja nimenunua Mimi ... Nyumba kubwa nimejenga Mimi ..nyumba mbili ndogo tumesaidiana....... Swali la 3 sijalielewa
 
Uamuzi wa kiume sana. All the best..!!!
 
Mbona mliopo kwenye taasisi hiyo mnatutisha jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…