Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana kwa kweli. Pambana utoke kwenye hiyo Hali, usiruhusu ikuharibie mambo Yako.Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Liverpool VPN njoo huku utoe ushauri
Huu uzi bila mchango wa Liverpool VPN ni batili
Ndugu zangu Offisho_Kid na Uchira 1 ukimsoma huyu mwamba inaonyesha yupo kwenye "Maumivu makubwa ya roho na moyo"We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
Dharau zilianzia hapo kwenye kumsomesha na kumfungulia biasharaWe Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Mtoto wa nzi mm ni rafiki yko sana kwenye jukwaa letu la Vita vya urusi na ukraineStori isiwe ndefu .... Mke wangu mtumishi Mimi mtumishi... Anatiwa ujinga na wenzake Kila siku ... Tuna viwanja viwili ..kimoja tumejenga... Sawaaaa Leo nimempelekea hati za viwanja vyote ... Na akae navyo ..... Na nime mwambia nakuachia Mali zote usitombwe KIZEMBE tombwa ukiwa na hamu... Naondoka wasikilize hao marafiki zako... Simu nazopigiwa sio za dunia hii ..... Nimeamua kumuachia Mali zote ..nianze upya.... Wanawake ... Mungu anawaona.... Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu .... Nimekaa miezi hanipi mzigo Kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu ..... Leo namuachia Kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili...... nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka... Mi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki ... Nimempa Kila kitu ..nianze upya...
Kwamba kutooa mwanamke ndo utakuwa umekwepa hizo changamoto?Ndugu zangu Offisho_Kid na Uchira 1 ukimsoma huyu mwamba inaonyesha yupo kwenye "Maumivu makubwa ya roho na moyo"
Unaweza kumuona kwa nje yupo ""smart na vizuri and so on"" ila kiuhalisia mwamba anateketea rohoni.
Siku hizi Kuna ma feminist wengi sanaa wanaojiona wameelimika na wanaweza ku control wanaume.
Ole wako ukutane nao Hawa...!!!!!
In the second side, Ukiwauliza Espy Atoto Noelia at El. Wana msemo wao ""Ndoa ni kwa wanaume wenye akili"" ila sijui kama wanao olewa nao wanatakiwa kuwa na akili..!!
Hapohapo uki "cite" hizo post mbili hapo juu za mwamba, utaona kuwa huyu jamaa alijitoa kwa moyo na pesa ili mke wake aridhike ila badala yake kawa mwiba.
Huyu ndio wale walioambiwa "mwenye kuoa ndio ana akili" basi na yeye akajifanya ana akili na kuoa ila LEO YAMEMKUTA.
Ndugu yangu Mtoto wa nzi Mimi ni mtumishi mwenzako mwenye miaka 32 na miaka 10 Utumishini.
Inaweza kuwa umenipita miaka (umri) na muda wa Ajira au "the vice versa".
Ndugu, katika jambo ambalo nasisitiza na naendelea kusisitiza kwa watumishi wenzangu ni kwamba USIOE USIOE USIOE.
Una mshahara na muda, basi tafuta biashara au uwekezaji "and go for it".
Tafuta hela uishi maisha yako.
Pesa itakupeleka kokote utakako, hata huko kwa Mungu ukitaka kwenda ni rahisi kwenda kama una pesa. Si utakua unatoa sadaka na zaka na kusaidia wahitaji?
Sasa mnaoa ili mtafute nini? MTAKUFAAA.
Mambo ya kuweka mtoto wa watu ndani ili aje kukuumiza na kukutoa roho "Ya nini yote?"
Wanawake wa siku hizi wamefundishwa haki sawa.
Na hili wameli-apply kwenye kila kitu.
Ukitaka kufa mapema dunia ya sasa WE OA.
Ma-feminist WATAWAUAAAA.
Nimemaliza.
Mwenye sikio na asikie.
#YNWA
Why umuachie malii???? Huyo ni wa kufukuzaa akajifunzeee namna ya kuishi na mwanaumeee... ingekuwa nyumba ya kupanga sawaaa ila sio nyumba ya kujenga umzirie mwanamke..We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
All we need is peace ....Mali tuwaachie waliokuja kuzitafuta ... Cos tulikuja hatuna kitu na tutaondoka bila kitu .....we have nothing to loose mzeePole mkuu. Ila haikuwa sawa kumuachia kila kitu. Lakini kuna wakti ukifika nakuelewa mkuu. Liwalo na liwe. May God give you peace mzee. Unaihitaji right now.
Aiseh poleStori isiwe ndefu .... Mke wangu mtumishi Mimi mtumishi... Anatiwa ujinga na wenzake Kila siku ... Tuna viwanja viwili ..kimoja tumejenga... Sawaaaa Leo nimempelekea hati za viwanja vyote ... Na akae navyo .....
Na nime mwambia nakuachia Mali zote usitombwe KIZEMBE tombwa ukiwa na hamu... Naondoka wasikilize hao marafiki zako... Simu nazopigiwa sio za dunia hii ..... Nimeamua kumuachia Mali zote ..nianze upya.... Wanawake ... Mungu anawaona.... Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu .... Nimekaa miezi hanipi mzigo Kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu .....
Leo namuachia Kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili...... nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka... Mi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki ...
Nimempa Kila kitu ..nianze upya...