Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyompatapata nadhani ni miongoni mwa chanzo cha tatizo.Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
usiwe kama mke wa LutuStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Great example chief [emoji106]Glass ya maji haina uzito kama utaibeba kwa mda mchache ila ukiibeba hiyo hiyo glass kwa masaa kadhaa bila kuiweka chini mkono utaanza kuuma
Ukiendelea kuibeba mkono utaanza kufa ganzi
Dawa ni kuweka chini glass
Haya matatizo usiyabebe sana unayatua na kuendelea na maisha mengine
Wewe ni lofaWe Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Mbona gafla mkuuu? Kweli kitandani unamtimizia mkeo? Nachojua mwanamke kama matumizi ya familiya hayasumbui na kitandani shoo unaiweza hawezi kukulete dhalau.
Great example chief [emoji106]
Puuzi kabisa weweWw muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"
Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba
Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo
Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
What the swali la kikuda kama hili?Mbona gafla mkuuu? Kweli kitandani unamtimizia mkeo? Nachojua mwanamke kama matumizi ya familiya hayasumbui na kitandani shoo unaiweza hawezi kukulete dhalau.
Hua tunawaambia kuoa mwanamke mwenye kiajira ni kujitia kitanzi hamsikii, hao wana jeuri mpaka haifaiStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Pole kwa maumivu! Unless una mapungufu yanayokufanya umwage manyanga. Mwanaume lijari hawezi kumkimbia mwanamke hata iweje!Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Upuuzi wangu nini hapoPuuzi kabisa wewe
Hakuna wakuja kutupa mwongozo??Pole sana, hayanaga muongozo...
Hapana anyooshe maelezo hata hivyo kusikiliza one side ni kosa, lazima tujuwe na upande wa pili vipiUnaweka nyege mbele kwenye mambo seriously. Subiri kwanza tusikie shauri ngumu ngumu
Bila shaka unajua nini maana ya hear both sides!!😂😂😂What the swali la kikuda kama hili?