Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtu akiamua kukuachia kila kitu , ujue kuna kitu kizito hapo. Hata ukisikliza pande zote mbili naamini upande wa huyu mleta uzi utakua na nguvu...Bila shaka unajua nini maana ya hear both sides!![emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani we ndo shujaa sasa ngoja nimpigie simu putin ukae mstari wa mbele huko ukraine,halafu mzee baba jukwaa la mikeka tumekumisKaribu.... Unajua mwanaume wa kuweza kukaa na mke wake bila kulazimisha tendo la ndoa ni shujaaa au mnyonge ... !!!?? Ukipata jibu utajitambua upo kundi Gani .... Pole....
Kuhusu swala la mzigo, umeshindwa hata kumfinya ili akupe haki yako ndugu?punguza upole...Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Sawa tumuombee hiyo nguvu isiwe ni juma dede kusinzi kila wakatiMkuu mtu akiamua kukuachia kila kitu , ujue kuna kitu kizito hapo.
Hata ukisikliza pande zote mbili naamini upande wa huyu mleta uzi utakua na nguvu...
Nakazia. Hizi saluni za kike, viji office na hasa vikoba ni shida tupu. Nimeshasikia watu wengi sana wanalalamika vinawaharibia mahusiano ndoa zao.Pole sana mkuu. Subiri feminist waje kukuambia hizo ni changamoto ndogo tu katika ndoa na kwamba ili uonyeshe uanaume wako ulitakiwa upambane nae msuluhishe muendelee kujenga familia.
Mimi natoka kidogo ntakuja kuchangia baadae
.
.
.
Nimerudi. Wanawake sijui nani kawaroga siku hizi. Nahisi hawa mashosti wa saluni, ofisini na vikoba wanawaharibu sana.
Juzi nilikua nimeenda mgahawa flani hivi karibu na hapa kitaa. Pembeni kuna kasaluni ka kike mbele wamekaa wale masela wanaowapaka rangi madem pamoja na kuwasugua sugua miguu (kwa wakazi wa dar mtakua mnanielewa) aisee story walizokua wanapiga ni aibu tupu. Kuna mdada namjua kabisa ameolewa anawahadithia mambo yake ya chumbani na mumewe mashosti zake ambao asilimia kubwa pale ni masingo maza na wameshapoteza muelekeo wa kua na waume wa kuwaoa. Wengine wanamshauri "heee mie mwanaume hanipelekeshi hivyo shosti! Yani nimechoka zangu na kazi eti anilazimishe nimfulie manguo yake! Kah mlioolewa mna kazi! Si amtafute tu beki tatu!" Wakaanza kujichekesha kinafki.. Mwengine anadakia, "shosti yani ww pambana na watoto wako huyo bwana pasua kichwa wa nini na una kazi yako mamii! Tafuta mchepu akupunguzie stress! Siku hizi haki sawa akikuletea za kuleta unampeleka dawati la jinsia.. Kwisha habari yake!!!"
Daaah! Nikajisemea kwa hali hii mabachela tuna kazi sana kumpata mwanamke anaejitambua na kutambua majukumu ya ndoa..
Nakumbuka dingi yangu mdogo alikua na mke na watoto wawili, mjengo na usafiri wa kutembelea na biashara iliyosimama. Lakini alikimbia mji wake na kutokomea mikoani kuanza upya. Ndugu walikua wanaponda sana kile kitendo kiasi kila mtu alikua anamchukia kwa yale maamuzi. Wahenga waliosema kua uyaone hawakukosea. Sasa ndio nimekua nimeanza kumuelewa dingilai!
Huna tofauti sana na mimi, mimi nilipangiwa ratiba ya kupewa mbususu, wakati mwengine inafika wiki mbili sijapewa eti ""hajisikii"" kuna ule wimbo wa baba paroko. Kama alinilenga mimi.We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Mbona gafla mkuuu? Kweli kitandani unamtimizia mkeo? Nachojua mwanamke kama matumizi ya familiya hayasumbui na kitandani shoo unaiweza hawezi kukulete dhalau.
Weee afisa ushirika mbona una mikwara ivo shemeji hajakupa mbususu mwaka.?aisee shida nnStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Waambie wanawake wenzako mkiiendekeza Beijing itawapeleka pabaya. Ndio maana hata God alimuumba Adam, baadae akaona nimpe msaidizi ndia akaumbwa Eva au Hawa. Kwanini asiwaumbe kwa pamoja?Doh, pole Sana aisee. Wanawake ifikie mahali tubadilike kdg. Hii haki sawa hii itatuponza...
Kusikiliza mashoga watoe ushauri wa ndoa yangu, hapana kwa kweli. Khaaaa!!!!
Mbona mna mitihani jamani.Ww muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"
Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba
Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo
Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
Yaani hawa wanawake ambao kutoa mzigo ni wale wagumu yani hata msuluisheje mkirudiana atakupakupa mwanzonimwanzoni hapo,baada ya muda ataanza tena kulala na jeans lake.Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
jamaa ni domo zege, papuchi aliipata kwa hisani ya ndoa.Mkuu unafanya makosa makubwa ssana.
1. Kwa nini unaoa na huna backup. Huna mchepuko hata mwenye kakibanda mahali, usingekuwa unakosa papuchi.
Me yamenikuta sana haya mambo, nikaona isiwe shida nikaoa mke wa pili.Huna tofauti sana na mimi, mimi nilipangiwa ratiba ya kupewa mbususu, wakati mwengine inafika wiki mbili sijapewa eti ""hajisikii"" kuna ule wimbo wa baba paroko. Kama alinilenga mimi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pole sana.Stori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Pole kwa maumivu! Unless una mapungufu yanayokufanya umwage manyanga. Mwanaume lijari hawezi kumkimbia mwanamke hata iweje!