Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife

Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia

Mwaka jana yakajirudia yale yale.

Mwaka huu kanianza yeye mwenyewe nikamuuliza "vp ushaongea na wife" ? akanijibu wife hana shida we jichange tufanye kweli

Kweli mbaba wa watu nimepambana huko leo namgusa mi nko fresh tunafanyaje sasa? Akanijibu "nimejaribu kuongea na wife ila kazingua yaani kagoma kabisa"

Nikakausha afu nikamtumia message isemayo hivi "NAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU UGONGEWE MKEO AKILI IKUE".

Unajua hawa ma brother zetu bila kugongewa akili zinaganda sana yaani ye anaona mke wake ndo kila kitu utafkiri yeye ndo wakwanza kuoa

Walikuepo wenzenu aaaya
 
Mke hapewi ramani ya mchongo yeye aone matokeo afurahie tu na likibuma haambiwi maana hawachelewi kujifanya wanamajonzi, huyo jamaa kwa aina ya mke alienae atachelewa sana kufika
Achana nae ngoja agongewe Kwanza atajua hajui
 
Back
Top Bottom