Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

Ni kama brother yangu mmoja wa kufikia/mjini. Usimwambie issue yoyete, kesho ukienda kwake shemeji anakupa mchongo wote. Huu ni ufala sana
 
*****,,, huyo jamaa umasikini upo nyuma yake... Mwanamke sio mtu wa kumsikiliza saana yaaani..

Japo sio wote
 
Mbona rahisi tu Kaolewe wewe ili akushirikishe na kutimiza deal zenu,
 
Kwani kumshirikisha mke ni dhambi, sometime mambo hayaendi bila kumshirikisha mke(ubavu wako) maana chochote kikikupana wakwanza kuulizwa ni mke, sema umlaumu mke anavyomshauri vibaya na pia kaa naye chini umuelimishe njia sahihi yakuishi na mwanamke,
 
Acha wivu mkuu
 
[emoji23][emoji1787][emoji23] huyo jamaa wako anaiga western culture .maana anaonekana mpenzi mzuri wa tamthiliya za kifilipino.wewe tulia amagewe kama ulivyo .sema wanakuja kuwa mabahalia professional hao ila mda huu awezi kukuelewa tena usikute anakesemelea kwa wife unashahuri pumba [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
"MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI"

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mke ni mshauri na si mtoa maamuzi. Kumshirikisha mke kwenye jambo si vibaya ila si kila jambo anapaswa ajue, mwanaume kaumbwa kutake risk ambazo akimshirikisha mke lazima amrudishe tu nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…