Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Kwahivyo alikueleza mbaya wake ni nani sasa?
 
kaka Pascal, huyu mbowe ni mtata sana, anasema yupo katikati ya mapambano hawezi viachia vita, wakati huohuo anasema maridhiano yamekuwa na faida kubwa, sasa tueleweje? ukiwa unafanya maridhiano si unaacha vita kwanza? au mimi ndio sijamuelewa?
 
😀 😀 😀
 
 

Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
Mh! Sasa Kama rais mwenyewe anapotezwa alafu unadai waachiwe wananchi kuamua wakati unajua fika asilimia kubwa wanachi kwenye sheria Ni Kama raisi vilevile hawajui. Wewe ndio unajichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…