Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Kwanini mabishano????kwani uzuri au ubaya wake...unatusaidia nn cc??au kuna ukundi kundi hapa...kuponda kiumbe cha Mungu ni dhambi.
 
wewe ndo umechelewa kweli, sio wote wanaotoka mikoani washamba, hata dar wapo washamba pamoja na kwamba wamezaliwa dar na kukulia dar.
Kama wale wanaoishi uswaz rangi tatu,tandale...nao wako mjini eeeh....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mikoani wakati mwingine ni mjini zaidi ya mjini?hatuji Dar kupunguza population
 

hhahahaha so unataka kusema kwa sasa anatakiwa kujiunga na bibi bomba?
 
Mawazo yako ulifikiri WEMA uzuri wake watu wanaougombania ni sura.Mashine yake inakubana kama skin tight
 
Hakuna binadamu alokamulika..afadhali yake yeye hata ana hyo miguu ya kusimamia wengine hawana kabisa miguu..msipende sana kukosoa kazi za mungu hakuna aliyekamilika na kabla hujafa hujaumbika
Nadhani yeye mwenyewe Ni mkosoaji mzuri wa muumba wake, tuishie hapo
 
hao woote wanaomsifia wema wanatoka mikoani hata wakimuona kichuya au okwi barabarani wanajazani unasimama unauliza kuna nini hapa jamani watakwambia tunamuangalia wema au okwi looo tz washamba wengi
Kumbe kumshangaa MTU ni ushamba?
Nilikua cjui ngoja nitunze kweny bongo yangu APA tena bongo ya nyuma kabisa
 
Wema si mbaya ila anangoz lain sana sana ndo maana anaonekana ana mabonde mabonde ila kiukwel ananyota ya kupendwa haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…