Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Kwanini mabishano????kwani uzuri au ubaya wake...unatusaidia nn cc??au kuna ukundi kundi hapa...kuponda kiumbe cha Mungu ni dhambi.
 
wewe ndo umechelewa kweli, sio wote wanaotoka mikoani washamba, hata dar wapo washamba pamoja na kwamba wamezaliwa dar na kukulia dar.
Kama wale wanaoishi uswaz rangi tatu,tandale...nao wako mjini eeeh....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mikoani wakati mwingine ni mjini zaidi ya mjini?hatuji Dar kupunguza population
 
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo Leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu. Kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpk unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya Nchi hii, ni ramani ya kwenda Sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!

hhahahaha so unataka kusema kwa sasa anatakiwa kujiunga na bibi bomba?
 
Mawazo yako ulifikiri WEMA uzuri wake watu wanaougombania ni sura.Mashine yake inakubana kama skin tight
 
Hakuna binadamu alokamulika..afadhali yake yeye hata ana hyo miguu ya kusimamia wengine hawana kabisa miguu..msipende sana kukosoa kazi za mungu hakuna aliyekamilika na kabla hujafa hujaumbika
Nadhani yeye mwenyewe Ni mkosoaji mzuri wa muumba wake, tuishie hapo
 
hao woote wanaomsifia wema wanatoka mikoani hata wakimuona kichuya au okwi barabarani wanajazani unasimama unauliza kuna nini hapa jamani watakwambia tunamuangalia wema au okwi looo tz washamba wengi
Kumbe kumshangaa MTU ni ushamba?
Nilikua cjui ngoja nitunze kweny bongo yangu APA tena bongo ya nyuma kabisa
 
Wema si mbaya ila anangoz lain sana sana ndo maana anaonekana ana mabonde mabonde ila kiukwel ananyota ya kupendwa haswa
 
Back
Top Bottom