Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Sijui wema, wolpa, uwoya tupa jalalani saizi kuna vyombo vipya mjini, mtoto tunda, mobeto, ambalulu,mimi mars, nandy, nini, sasa izo screpa za nini enzi izi za watoto wabichi
Eti amber lulu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna kitu pale.... Utamu wotee umekwisha... Mtoto mzuri walauwalau yule Kajala bado ana utamu... Lakini Wema, Wolper na wengine wa aina yao Hawa utamu ushaisha.Bahati mbaya bado hawagutuki... Watakuja shitkuka washekuwa mabibi na Wema namuhurumia lile tako la Dukani likianza kuporomoka atakuwa kituko cha jiji.
 
hivi wema ndo nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…