Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ina mfupa na ngoziIna nini tena hiyo miguu na wewe nae!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina mfupa na ngoziIna nini tena hiyo miguu na wewe nae!!
Weee sio mimi ni Mungu ndio anasema hivyo.Asa utamlazimisha mtu aishi utakavyo ww au ? Mwisho wa siku kila mtu atavuna alichokipanda
[emoji23] [emoji23]We bisha uje uambiwe rabish
Eti amber lulu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui wema, wolpa, uwoya tupa jalalani saizi kuna vyombo vipya mjini, mtoto tunda, mobeto, ambalulu,mimi mars, nandy, nini, sasa izo screpa za nini enzi izi za watoto wabichi
Hujaona miguu yake?
Ana uzuri gani sasa hata wakati huo yuko kinda??Ni mzuri yule dada sema umri imekuwa tatizo kwake...anazeeka so hawezi bakia na standard ile ile.
Kama hivi?
Ukajua eskimo, hahahahhahahaha...wale ni kitoweo kwa kongomimi kuna siku nimekutana na lulu kwenye lift nikajua ni wale mbilikimo wa msitu wa Congo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hujaona miguu yake?
hivi wema ndo nani?Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo Leo nimemwona live Supermarket moja msasani.
Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu. Kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpk unaona mabonde mabonde.
Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya Nchi hii, ni ramani ya kwenda Sauzi kabisa.
Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.
Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?
Khaaaaa!!