Dhamani- ThamaniKwa hiyo dhamani uliyo kuwa unampa umeitoa mkuu.
We mwenyewe mkali haswa...labda usiwe wewe kwenye hiyo avarta..Nisaidie kumwambia huyo...kile chombo hasa sema ndo hivyo mipombe, umri, stress
Mkuu huyo dada sio mzuri kivile.Wema mzuri wewe acha fix
Ni Mnyamwezi wa Sikonge,Tabora.Ni wa kawaida sana Wema ni mrangi wa kawaida sana ila amecheza sana na media kujenga taswira kuuuubwa!
Aha kumbe, sikulijua hilo, anyway Wema jina kubwa ni product ya Media hype wala sio uzuri wa sura au umbo, in fact ana sauti kama ya animated cartoons! AaaghNi Mnyamwezi wa Sikonge,Tabora.
Kumbe we ndio wemaMean?...mi Wema?.... Unanifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inategemea unamfananisha na naniWema mzuri wewe acha fix
Wema na mbwa wetu nani mkali?wema angekuwa mkali usiku angetulindia getiWema mkali anko tusidanganyane hapa hyo minyama ndo fresh sana aisee
Dhamani[emoji808]Kwa hiyo dhamani uliyo kuwa unampa umeitoa mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dhamani[emoji808]
Thamani[emoji818]
Unacheka nn sasa we mtoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa wema ni MTU maarufu sio kwamba ni mzuri [HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ndio ukweli mchungu kwa wengi#Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.
Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.
Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.
Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.
Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?
Khaaaaa!!