Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Ukimuona mtu kiuhalisia kama umezoea kumuona sana kwenye runinga na mitandao lazima uone kama ni tofauti jambo kubwa ni watu maarufu ni binadamu wa kawaida sana kama walivyo watu wanyumbani kwenu
Mfano mzuri kama ndugu yako(wa kike) akifung ndoa au send off we mwenyewe unamshangaa jinsi livyo badilika kwa kupodolewa na wasanii wapo hivyo
 
Ni wa kawaida sana Wema ni mrangi wa kawaida sana ila amecheza sana na media kujenga taswira kuuuubwa!
 
Ni Mnyamwezi wa Sikonge,Tabora.
Aha kumbe, sikulijua hilo, anyway Wema jina kubwa ni product ya Media hype wala sio uzuri wa sura au umbo, in fact ana sauti kama ya animated cartoons! Aaagh
 
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!
Kweli kabisa wema ni MTU maarufu sio kwamba ni mzuri [HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ndio ukweli mchungu kwa wengi#
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom