Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo Leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu. Kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpk unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya Nchi hii, ni ramani ya kwenda Sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!




 
Kwangu namuona tu kama giant fulani hivi la kike. Sioni uzuri alionao sasa.
Tuna mitazamo tofauti.
Duuuh....eti giant[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...umenikumbusha kitabu fulani hivi cha kitoto wakati niko chekechea " giant john"

Any way nisikuforce sana kila mtu na preference zake but kuna members humu wanaomjua live kama mimi umeona walivyorespond? She's beautiful bana!
 
Screenshot_20180311-003800.png
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hao woote wanaomsifia wema wanatoka mikoani hata wakimuona kichuya au okwi barabarani wanajazani unasimama unauliza kuna nini hapa jamani watakwambia tunamuangalia wema au okwi looo tz washamba wengi
wewe ndo umechelewa kweli, sio wote wanaotoka mikoani washamba, hata dar wapo washamba pamoja na kwamba wamezaliwa dar na kukulia dar.
 
Yaaaaan mi mwanaume akiandika vijembe kama hivi sijui namuonajeee bora ungesema nimemuona wema lakini alivyo sivyo tunavyodhaniaa ,lakin shosti naonaa umeandikaa kwa hisiaa saanaaa utasema mnashare khaaa,though i don lov this woman bt siwez anzisha thread kisa yy ila ww umenichoshaa
 
Mimi nilimuona hamisa airport sijui alikuwa anaenda wapi ni wa kawaida mno. Sema ana kimwili kizuri kwa watoto 2. ila sura ni ya kawaida tu
 
Bongo wazuri zaidi yake ni weeeeeeengi mno ni vile yeye anajitangaza kitu kinacho sababisha atangazwe Na media tofauti sababu ka mshiko kiasi kakupelekea ma presenter kapo
 
Most ya hawa celebrities wa kike sio wazuri hivyo kiuhalisia km tunavyowaona wakiwa kwenye camera au pictures za kufanyiwa edit, nilimwona LULU pale magogini hata sikuamini kua ndio huyu wanayesema ni actress mzuri kukiko wote africa, yaani ni wakawaida kweeeli kweeli
 
Huu ni ukweli mchungu japo wengi hawataki kukubaliana nao. Wataishia kukuita Hater.
 
Back
Top Bottom