mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
Jokate mzuri sana! Yuko natural and Simple.Hapo umemuona wema ambaye kwenye tv anavutia kuliko wote, jiulize je shishi au snura au riyama au jokate au nandy au vanessa au daina au linnah live wapoje??
Bongo hamna star mzuri
Ningekua na mpunga wa kutosha ningetangaza ndoa kwa yule mtoto