Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Kuna siku nimepita maeneo ya mlimani city nashangaa shangaa mji tukaona wadada fulani mbele yetu mmoja wao mchacheeeeeee anapepesuka tu nikaambiwa huyo ni Vanessa mdee aiseee hizi picha tunaziona kwenye TV na mitandaoni ..............ahahahahaaa
 
Vanezza ndo kituko kingine hapa nchini. Kwa mstuko huo Siku ukimuona Zamarrabbi ndo utahara kabisa aisse
 
Vanessa havutii jamani. Kale kaumbo kake na anavyovyaa. Ila akiwekwa mtandaoni utasema mwanamke mrembo si ndo huyu. Kazidi udunchu maana ule sio udogo tena.
 
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!

Kumbe wenye macho ya vision 20/20 bado tupo.....mkuu umeongea point, yaani bila ma make up ya kilo 50 usoni Wema hana uzuri wowote na hajawahi kuwa mzuri hata kidogo, yuko kama Mama yake.
 
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] uko sahihi kabisa ni libovu lipo kama papai linalotaka kuoza
 
Dah...haya mabeautycam yanawaingiza chaka wengi sana [emoji13] [emoji13]
 
Vanezza ndo kituko kingine hapa nchini. Kwa mstuko huo Siku ukimuona Zamarrabbi ndo utahara kabisa aisse
Hata mimi huwa sioni uzuri wa zama, na ile dental formula ndiyo kabisaa naona havutii.
 
Shishi kule Belgium alituonyesha ndala tepetepe Leo hii insta anaonekana nyonyo kakamavu daah
 
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.

Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.

Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.

Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.

Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?

Khaaaaa!!

Yupo kama amoeba hahahah
 
hahahahahahaha uzur wa sipenga sijawai ona koz hata kwa kwa my X afikii sumbuse dem wang wa sasahivi
 
Hv Madam huwa anajishughulisha na shughuli gani za kiuchumi?
 
Back
Top Bottom