Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hupitwiiiiiiiiikofo- kofi
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daa umetuzalilisha wanaume. Pia omba msamaha kwa Mkeo na wanaume tuliofedhehesha.
Kwahiyo kukuambia wewe ni CUF ya Lipumba Kofi je akikuita Magu hotaua kweli?
follower wko mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hupitwiiiiiiiii
enx by the way nimerekebisha.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Really.... na how do you do kumfollow someone?? i want to follow you back.follower wko mm
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Wewe Bonge la Bwege tenba Bwege la Kipumbavu how can you react to that extent? Kabisa hiyo kesi haijibiki wala usihitaji mjadala go straight na omba msamaha full stop wala usiwachoshe.Wanajamvi,
Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....
Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"
Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...
Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe una utani na mkulu eeeh!!
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
HahhaahWanawake wa Dar wanadeka sana kwetu Mara mwanamke anakatwa panga bado anavumilia kofi moja tu mwanamke anaondoka njoo Mara Tukupe mwingini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia JF ya kweny web ndo utaona sio kwa appReally.... na how do you do kumfollow someone?? i want to follow you back.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.