Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu utanivunja mbavu aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Teh...yamenikuta mkuu!!

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kwa hiyo umeona wana JF ni watu wazima wasio kuwa na akili timamu kwa kuwezekana kutuelezea ugomvi wako na mkeo juu ya Prof. Lipumba?
Hapana. Huku nipo huru kujieleza bila kujalisha yoyote awaye. Ushaur wako ni upi mkuu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Huko aliko masikini Professor anakula ubwabwa wala hujui kuwa leo jina lake limesababisha ndoa ivunjike
Na ikivinjika akaolewe na prof tu bora...kwan si hana mke ama?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mimi nisingekimbia ukweni,ningemrudushia bonge la kibao cha mgongo.
Meza yote ya dressing table ingehamia mwilin kwake.
Kwa hali ilivo naona hii ingekua nafuu kwangu kuliko alivokimbilia kwao

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kinyerezi kawaeleweshe wakwe zako kwamba ilikuwa ni utani tuu.
Unajua wife ndo anajua na mazingira yalivokua afu hataki kuelewa. Wakwe ndo hawataelewa kabisa

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Hapana. Huku nipo huru kujieleza bila kujalisha yoyote awaye. Ushaur wako ni upi mkuu

An ant on the move does more than a dozing ox.

Mwanamke apigwi, kitu ambacho ungefanya ni kumpotezea na kuamia sebuleni. Jambo la msingi nenda kwao kamchukuwe ila kaelezee ukweli wote bila kuficha kitu halafu wakwe watafanya maamuzi, na akikataa kurudi basi mwache ajitafakari.
 
Mzee baba naona umekurupuka kama jpm [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hakuna namna hapo nenda ukweni ukaombe msamaha tu mambo yaishe ,kesi ndogo sana hiyo.
Yan namkosea mke wangu msamaha naomba ukweni....ivi maisha haya mpaka lini??

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kwanini ulimpiga kofo kama mlikua kwenye utani??? nyie wanaume ndio maana mnanyweshwa mikojo na nyama mbichi nyieeee.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mkuu nlimnasa kikofi cha utani tu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kama nakuelewa mkuu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Sasa kofi moja tu ametoka Hapo Kwako Kibiti mpaka Kinyerezi?? Ungeamua kushika mashine si ndio angefika bagamoyo kama harmonize?
Harmonize nae alitimua mbio kama Harmorapa?? Lin hyo? Mmh, nilipitwa hahhaa

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Asante sana kwa ushaur mkuu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…