Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Safi sana......ulikosea ungempa mangumi atakuwekaje kundi moja na Le Prof Lipumbafu?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Huyo nae anadeka kakofi tuu, minkajua umempiga ngwala

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 

Wacha wee. Kama nakuona vile mdogo wangu sijui umelala saa ngapi leo

Umejuaje mdogo karibu sana ukiwa tayari we niambie mana upande huo nao niko vizuri aisee.
 
Wacha wee. Kama nakuona vile mdogo wangu sijui umelala saa ngapi leo

Umejuaje mdogo karibu sana ukiwa tayari we niambie mana upande huo nao niko vizuri aisee.
Hahahahaha wala sijalala hlf nina booonge la kazi leo mbona itakua vituko vya kusinzia.

Ndio maana nakupendea hapo tuuu dada ake,
Nitakwambia weekend flani hivi aiseee na mimi nipate japo chakula cha home (mama ntilie watanunajee) hahahaha

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Usijali karibu sana mdogo wangu.

[emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
We jamaa ni mwehu haihawahi kutokea

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Nani kakwambia Mwanamke anapigwa kwa vitu vidogo hivyo?
Wewe na Nuhu mziwanda hamna tofauti
 
Wife inaonekana ana akili kuliko wewe

''Aut Vincere Aut Mori''
 
Hahaaa. Umeona eee. Ila kuna uzi wa mrejesho sehemu eti mama mkwe kamwambia arudishiwe kibao ili yaishe.

Yaani ndoa yao inavichekesho vya kuvunja mbavu.
Heee!basi ni ya kutunga
 
Umesema uliamka kwa gazabu na kumchapa kibao hadi kaangukia kitandani
Alafu unadanganya eti ulikuwa utani, wakati unasema mwenyewe ulikuwa na gazabu.

Unapiga mkeo kisa lipumba
 
Hahahaaaaa kilambi.. unanivunja mbavu,umejifungia chumbani unaogopa gubu la mama mkwe au kuna kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayar mamkwe kaweka msimamo eti niende kwao nimfuate wife ila na wife nae anizabue kibao mbele yao ili yaishe. Yan ni mkorof sana mamkwe

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Huyo nae anadeka kakofi tuu, minkajua umempiga ngwala

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Mkuu yan ni kama anantafta sababu tu. Kofi moja ndo limrudishe kwao kwel??

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…