Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Anarudi kwao kufanyeje mkuu na je akikosana na huko kwao Hata kabla ya kuolewa alikuwa ana solve vipi tatizo kama hilo?? Hapa ndipo ndugu zetu huwa hawajui maana ya ndoa na lile ñeno wanalokuwa wakiimba kuwa Leo/ kesho ni send off yangu.hapa wabongo na tusio wajuzi wa neno OFF kiuhalisia.mke umemuoa na amefanyiwa SEND OFF kweli anarudi kwao kisa ya kufinywa. Send off mana yake ni kuwa ametolewa kwao mazima hana habari napo tena Hata àkikosana nawewe anatakiwa atafute namna ya kutatua mgogoro huo kama amekomaa na àmekuwa MTU mzima na sio miaka mingi hapa wapo watakaonielewa. MTU mzima lazima ujue kukwaruzana kupo Hata baina ya wanandugu. Baina ya wewe na mama/baba/kaka/dada . swali je ukikorofishanà na hao utaenda wapi au utàkimbia kwenu.pia marriage ni lazima I we chemical bond tena electro valent bond na hapa wachache watatnielewa. Hapa ndipo nàpompendea mwanamke wa kimasai/kimasai mana akishaolewa Hata umfànyie nini kwao harudi ng'o.yaani ukikosana na mwanamke wa hizi kabila ambapo anajua kuwa umekasirika kabisa waweza muumiza utàmkuta kaenda kwa shemeji/wifi kama sio wazazi wako hapa lazima ataenda kwa ndugu wa Mme na kuishi huko na kumwambia kuwa ndugu yenu kanifanyia ubaya/kosa Fulani ila sio tena kurudi kwao alikozaliwa. Ni kwa nini arudi na huku alifanyiwa send off au ni kwa vile tunatumia maneno ya English bila ya kuelewa manaye. Hapa utamkuta mama wa kiswahili àkisema huyu ndo my first born wangu wa kwanza kuzaliwa. Hajui bila anarukia tu hilo neno.kama mmeshindana na mkeo hapa bora anatafuta makazi mengine anaenda kuishi ila kwao harudi Hata ufanyeje.kwa walio karibu au wameishi na hayo makabila mawili mtakuwa mashahidi wàzuri wa Hata nayosema. Viva Kurya&Masai societies

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] mkuu umetoa somo zuri sana
Lakin kaka hao wake wa kuyajua
Hayo kwa wakat huu ni mtihani.
 
Kuna Binti wa ofisini ameachana na mchumba wake kwasababu jamaa anampenda sana Bashite anamlazimisha dada wa watu eti aseme na yeye anampenda Bashite na mbaya zaidi akawa anamkaripia asisome kabisa post za Mange kwenye Istagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Nn Utawaliwe Na Chama We Kama Co Cuf Kuna Shida Gan Ku Panik Asee Me Cjui Nikoje Maswala Ya Vyama Hayanaga Nafac Kwangu I Do No Why
 
Polee mkuu ... But ulishawai mpiga mkeo KWA kosa lolote?? Kama ujawai we kaa kimya atarudi mwenywe sababu nazani akija uku jf akiona jinsi kila MTU anatafuta mwenza kuna mpaka wazee ..single mama...na wenye gwegwe

sent from my iPhone 6
 
Yaani mtu uharibu ndoa yako kisa upumbavu wa siasa? Ujinga tu umewatawala!
 
nimecheka sana aic!hapa mtoa mada kilambimkwidu hajampiga kofi wife wala nn !alikua anataka kufikisha ujumbe kwa jamii kuwa hampendi kufa pumba za profeseri!nimecheka sana yaan! bahati mbaya wasaliti huwa WANADUMU SANA
Hapana sister, haya yanatokea laivu. Omba sana uyaskiage tu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
matumizi mabaya ya mamlaka ya uanaume ndani ya ndoa..
Nilimnasa kibao kimasikhara...ye kantaftia sababu. Hua sipigi hata mdogoangu sijawah mpiga

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Back
Top Bottom