Nimemzidi umri kwa miaka 12

Daktari alishaniambia sina matatizo long time ago, ila sikuwa na wakunipa mbegu. Asante kwa ushauri.
 


hapo sasa kila mtu ana point nzuri mnampa kazi mtoa mada
 
Kwani menopause huja mwanamke akiwa na miaka mingapi?
 

At this age, u a desperate, even Aki n Popo u don't care!
 
hapo sasa kila mtu ana point nzuri mnampa kazi mtoa mada

Kazi wapi,?@The Boss kamaliza,
Avute muda azae at 50 ama...yuko kwny menopausal years already sijui anaremba nini
 
Inaonekana umeshafanya kosa la kwanza kumpa tunda mpaka saa nane? Kuzaa itakuwa kosa kubwa utajutaaaa

Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 


shukrani mkuu!....hili lidemu kumbe lijinga sana!....
 
Tokea nijue hii thread yako umetunga si kweli nimekua disappointed sana!!!....ila nilikua najiuliza kweli mwanamke amngojee mwanaume hadi astuke amefika 44?????Hata aliyeishia darasa la pili hawezi sema anamsubiri mtu hadi anafika age ya 44.

P'se usirudie uongo, aaaaaaaaaaaaaaggggggggggggghhhr nilikomaa kushauri kwenye uongo dah
 

Asante kwa ushauri wako, nilichoandika ni maisha yangu halisi siyo hadith ya kutunga.
 

Achana na mtoto wa watu ndugu! Muache atafute watoto wenzake. Kwanza atakutesa huko mbele nina hakika ukizaa mtoto mmoja basi kwisha habari. Utaanza kujishtukia uzee utamkwaza na wivu atakua hata kazini tabu. So tafuta amani yako muache kijana wa watu aishi maisha yake. Mueleze ataelewa asipoelewa leo time itamuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…