Nimemzidi umri kwa miaka 12

Acha mbwembwe,una miaka mingapi? Ukute una 27

Aaah wapi.....mimi nilipokuwa na miaka 27 wewe hata kusoma ulikuwa bado hujajua. Eli79 hii sio Id yako nyingine kweli?
 
Last edited by a moderator:

You nailed it!!! Yeye ni mrefu, ni mtu wa mazoezi lakini akiacha anakuwa na nyama uzembe. Mimi ni 5.6ft tall. Ninatembea one hour morning and another hour evening. Kwakweli magauni yananipendeza sijisifu. Kingine ninampa heshima sana kama mwanaume, ninamsikiliza. e.g. Last week nilikuwa kwenyemkutano Ijumaa wadada niliokuwa nao walitaka tuunganishe weekend huku kwasababu ni kando ya bahari na upepo ni mzuri. Aliniambia nirudi kwangu kama mkutano umekwisha, nilipanda ndege Ijumaa na sasa niko kwangu.
 
Mwambie akuoe tu maana mbona muhammad alioa mwanamke ambae ana umri wa miaka 40.
 
Aaah wapi.....mimi nilipokuwa na miaka 27 wewe hata kusoma ulikuwa bado hujajua. Eli79 hii sio Id yako nyingine kweli?


Mmh..rafiki, kweli? Niwe na ID mbili kwa natafuta nini jf! Hii moja inanitosha sana, dogo kapatia umri nini??
 
Last edited by a moderator:
Yeye akiwa na umri wa miaka 25 Muhammad , na hadija akiwa na miaka 40
 
U love him because of the exposure and his smartness, kwa kiswahili tunasema umemtamani! Wacha aendelee kuwa boyfriend wako lakinj si kumfanya awe mumeo, unless u'll regret!🙄

He made the first move, nimerespond to his move, pia ninaenjoy kuongea nae.
 
dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???

Hahahaa, nimecheka sana.
 

Hapa inabidi afikirie mara 2 mbili!
 
ulimpa papuchi mara ngapi? dogo kanogewa
 
Kuna ubaya gani?

Hope hutaongelea habari ya kutenda dhambi kwani hapa kuna mtu keshamtamani mtoto wa mwenzie!


Hilo la dhambi siwezi kulizumgumzia. Naamini "wameshajuana", nilitaka kujua kama ataridhika kuwa na faraja ya mtoto endapo huyo boyfriend ayabadili mawazo baadae.
 
Siwezi kusema ni tapeli au la, nilimuuliza sababu za yeye kutokuwa na girlfriend akanijibu vizuri tu kuwa kwa muda mrefu alikuwa nje ya nchi kikazi so long distant relationship haikuwork out.

Nakushauri zaa nae huyo kijana...
Hutakuja kujuta...
Ukiendelea kupoteza muda umri unaenda na utakosa hata wa kukufariji...
 
Story zako nyingi ni za kutunga,
Lakini kama ni kweli, zaa tu huna option mama
Mana 44 ki utaalamu pia inaeza kukuletea complications wakati wa kuzaa
ssa kama unaendelelea kujiuliza kumbuka kuwa SIKU HAZIGANDI
 


Unakaribia 6ft. Siyo mbaya. Yeye ni mrefu pia siyo mbaya. Unampa heshima zote ni vizuri sana. Je matarajio yako/yenu kwenye kupata watoto ni wangapi na kwa kipindi cha muda gani? Mna mikakati gani kwa sababu ki umri ndiyo mshasogea tena haswa wewe mwanamke. Kwa mwanaume bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…