Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
sasa mtu kashatokea zen bado anajiuliza maswali mingi..atakuwa kashazoea kuwa aloneSelective mkuu..alikuwa anamsubiri mtu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mtu kashatokea zen bado anajiuliza maswali mingi..atakuwa kashazoea kuwa aloneSelective mkuu..alikuwa anamsubiri mtu...
Mpe papuchi dogo aile. Age is just a number - muhimu muwe mmependa; kuelewana na kukubaliana nyie wawili.
He made the first move, nimerespond to his move, pia ninaenjoy kuongea nae.
Mpe papuchi dogo aile. Age is just a number - muhimu muwe mmependa; kuelewana na kukubaliana nyie wawili.
Na watoto wenyewe wanapenda wakubwa waliowazidi.
tatizo kwani bado hujaliona..mi nashindwa kushangaa..hivi mtt wa kike hadi miaka 44 huna mwanaume anaeeleweka..hutongozwi ama? au yuko selective sana kwamba wote wanaokuja sio type yake
Nitakusemea halafu...
Olewa tu, umri si tatizo ila mkubaliane uzalie ndani ya ndoa.
Teh...ndo mpaka nikuambie sasa...isije kuwa na wewe unafikiria kama huyo dogo aliyekisia
Usithubutu kuzaa, huu ushauri wa bure tu nakupa!
Kwani wangapi wamezaa na wameachwa?.
Km kweli yupo serious na ni mpango wa Mungu itakua tu dada yangu!!...
Huyo Dada ako nae ataingiliaje mapenzi ,hajui ni makubaliano ya watu 2!
.sorry,huyo Dada ako kaolewa?
Huyo kaka anasema kwao wataleta zengwe,kwahiyo ataenda kuwatangazia ndugu zake kuwa umemzidi?..
If so,hayupo tayari kukudefend huko kwao!?
Dada Yangu muombe Mungu,ukipata amani moyoni jua ndie ,na km ndie hakutakuwa na chochote kitakachozuia,means kila mmoja wenu atakua tayari kudefen penzi lenu!!
Nb:naona anataka kujua km unaweza kuzaa.
Mtazamo wangu tu!!!
Huwa mnalinga sana, dharau ma nyodo. Mkizeeka hata watoto wadogo mtataka wawaoe.
Teh..umeanza lini wivu. Wajua siku zote nakupenda vile najua huna wivu..!
Umeona Kaizer?
Hivi dakika za majeruhi kuna nafasi tena ya kuremba remba na chenga za akina Zidane?
Ngoja sasa nimwambie bibi tuanze maandalizi ya kupokea kajukuu. Tena wakiwa mapacha itakuwa special hat trick!
Nani kakuambia na kukuaminisha kuwa umri siyo tatizo?
Ndo apo sasa,44 bado ana mwaka mmoja au miwili afikie monopause, ni hatari sana aisee.
Ingekua kwa mapenzi hakuna shida ila kwa ndoa naona kama itawapa shida sana, kwanza unawazaje kuzaa una miaka 44? ili uzae hapo utazaa ukiwa na 45 au 46. unafika 60 mtoto wako yuko 14 yaani amemaliza la saba na yuko form 1.
Sina hakika kama huyu mama anaweza kuzaa.