Nimemzidi umri kwa miaka 12

Nimemzidi umri kwa miaka 12

tatizo kwani bado hujaliona..mi nashindwa kushangaa..hivi mtt wa kike hadi miaka 44 huna mwanaume anaeeleweka..hutongozwi ama? au yuko selective sana kwamba wote wanaokuja sio type yake

Huwezi na hutakiwi kuwa selective dakika za majeruhi. Labda Kama mtu anaishi mbali na uhalisia wa mambo!
 
Usithubutu kuzaa, huu ushauri wa bure tu nakupa!
Kwani wangapi wamezaa na wameachwa?.

Km kweli yupo serious na ni mpango wa Mungu itakua tu dada yangu!!...

Huyo Dada ako nae ataingiliaje mapenzi ,hajui ni makubaliano ya watu 2!
.sorry,huyo Dada ako kaolewa?

Huyo kaka anasema kwao wataleta zengwe,kwahiyo ataenda kuwatangazia ndugu zake kuwa umemzidi?..
If so,hayupo tayari kukudefend huko kwao!?

Dada Yangu muombe Mungu,ukipata amani moyoni jua ndie ,na km ndie hakutakuwa na chochote kitakachozuia,means kila mmoja wenu atakua tayari kudefen penzi lenu!!

Nb:naona anataka kujua km unaweza kuzaa.
Mtazamo wangu tu!!!

44 bado ana mwaka mmoja au miwili afikie monopause, ni hatari sana aisee.

Ingekua kwa mapenzi hakuna shida ila kwa ndoa naona kama itawapa shida sana, kwanza unawazaje kuzaa una miaka 44? ili uzae hapo utazaa ukiwa na 45 au 46. unafika 60 mtoto wako yuko 14 yaani amemaliza la saba na yuko form 1.

Sina hakika kama huyu mama anaweza kuzaa.
 
kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa wanawake kunaongeza chances za kuzaa watoto wenye Downs' syndrome.
Hivyo kama utachukua uamuzi wa kuzaa na hilo pia uliangalie!
 
Umeona Kaizer?

Hivi dakika za majeruhi kuna nafasi tena ya kuremba remba na chenga za akina Zidane?

Ngoja sasa nimwambie bibi tuanze maandalizi ya kupokea kajukuu. Tena wakiwa mapacha itakuwa special hat trick!

Ha ha ha haaaa.
 
Last edited by a moderator:
Kutokuolewa on time ni teso kubwa kwa wanawake, yan hapa huoni wala husikii tena
 
Nani kakuambia na kukuaminisha kuwa umri siyo tatizo?

Nina marafiki wengi tu waliooa wanawake waliowazidi umri na ndoa zao zimedumu. Msingi ni maelewano yaliyopo baina ya watu wawili na mapenzi ya kweli yanayowaunganisha.
Wengi wanaingia bila kupendana huku wakiwa hawajui kuwa kilichopo baina yao ni vitu kama fantasy, Infatuation na ndoto na pale reality inapokick in ndipo wanapoanza kulaumu tofauti ya umri iliyopo baina yao.
Nina rafiki ameoa dada aliemzidi miaka 10 na ni mzuri hasa, wanaishi kwa furaha sana pamoja na kuwa Dada hana uwezo wa kuzaa na jamaa ana watoto wa nje aliozaa kabla ya kukutana nae. Ukiwaona utatamani.
 
44 bado ana mwaka mmoja au miwili afikie monopause, ni hatari sana aisee.

Ingekua kwa mapenzi hakuna shida ila kwa ndoa naona kama itawapa shida sana, kwanza unawazaje kuzaa una miaka 44? ili uzae hapo utazaa ukiwa na 45 au 46. unafika 60 mtoto wako yuko 14 yaani amemaliza la saba na yuko form 1.

Sina hakika kama huyu mama anaweza kuzaa.
Ndo apo sasa,
Nadhani priority ya dada iwe kuzaa mana umri ushaenda sana hata akiachwa mtoto anaye,
Dada make ur decisions fast,
Most men tend to marry downwards
Ur at a disadvantage,
Yanii ningeweza ngekupa mimba hata mim sema wa kike,if i were u ingefika ata 30 tu ningekua single mother
 
Back
Top Bottom