Nimemzidi umri kwa miaka 12

Nimemzidi umri kwa miaka 12

Ndo apo sasa,
Nadhani priority ya dada iwe kuzaa mana umri ushaenda sana hata akiachwa mtoto anaye,
Dada make ur decisions fast,
Most men tend to marry downwards
Ur at a disadvantage,
Yanii ningeweza ngekupa mimba hata mim sema wa kike,if i were u ingefika ata 30 tu ningekua single mother

Kwa kweli nimeogopa, this woman jadi sasa hazajaa na ndio anadikiria kuzaa nimeishiwa nguvu, nashndwa kuelewa hakupata mtu wa kumpa ujauzito miaka yote hiyo au alikua too selective au alikua hatongozwi?

Mimi namshauri apate mtoto tu mambo ya ndoa aachane nayo maanna zaidi ya nusu ya maisha yake duniani kayatumia akiwa single sidhani hiyo robo iliyobaki atashndwa kuishi peke yake.

Atafte mtoto aje awe mfariji wake kama atakua hana matatizo ya uzazi ila 44 ni mbali sana aisee.
 
Hivi wanawake mna akili kweli nyie mnaomwambia asithubutu kuzaa? Mtu yupo jioni kabisa miaka 44 mnamwambia asizae? Kweli akili za wanawake sifuri kabisa.

christine ibrahim kindly njoo u clarify kwanini unamshaur dada huyu asizae,
Unajua menopause??
Mambo ya sarai kuzaa at 90 hakikisha mumeo ana imani ya Ibrahim otherwise nature will follow its course
 
Last edited by a moderator:
Usithubutu kuzaa, huu ushauri wa bure tu nakupa!
Kwani wangapi wamezaa na wameachwa?.

Km kweli yupo serious na ni mpango wa Mungu itakua tu dada yangu!!...

Huyo Dada ako nae ataingiliaje mapenzi ,hajui ni makubaliano ya watu 2!
.sorry,huyo Dada ako kaolewa?

Huyo kaka anasema kwao wataleta zengwe,kwahiyo ataenda kuwatangazia ndugu zake kuwa umemzidi?..
If so,hayupo tayari kukudefend huko kwao!?

Dada Yangu muombe Mungu,ukipata amani moyoni jua ndie ,na km ndie hakutakuwa na chochote kitakachozuia,means kila mmoja wenu atakua tayari kudefen penzi lenu!!

Nb:naona anataka kujua km unaweza kuzaa.
Mtazamo wangu tu!!!

Umeongeavizuri sana dada yangu, I LIKE YOUR ADVICE!Lakini kwa upande mwingine pia huyudada anaonekana sio mwenyewe…and there is something behind the scene….KWA JINSI NDOA ILIVYO TAMU…..NA JINSI WANAWAKEWANAVYOPENDA NDOA…..Sitakia kuamini yeyeat the AGE OF 44….hajaolewa….na walahana mtoto…..kwa asilimia 90% HUYU DADAANA MATATIZO MAKUBWA……kama sio yakitabia….kuna lingine ambalo ni siri yake.Haiwezekani at that age akose wakumpenda.

Imagine anasema at this age of 44 she looks as if she had 28 yrs, This mean that when she was atage of 20 years alikuwa moto wa kuotea mbaaali…..so nini kili mfanya akosemchumba hadi leo hii…….NO….NO…..NO……kijana sepaaa faster….hapo kuna tatizo….!
 

Ahsante mkuu ntaleta mrejesho baada ya kuzisoma
Isijekua tunapoteza muda na ushauri wetu bure
 
Jamaa anauhakika wewe huwezi kuzaa, hivyo anajua atakugegeda mpaka basi, mwisho wa siku atakuacha. Ametumia busara ya hali ya juu sana kukuambia hawezi kukuoa, hivyo hakuna sababu ya yeye kukutambulisha kwao.
Mahusiano yake kwako ni ya kujifurahisha tu, kama na wewe upo kwa kujifurahisha basi itakuwa wewe pipa na yeye mfuniko. Changanya na zako.
 
Nina marafiki wengi tu waliooa wanawake waliowazidi umri na ndoa zao zimedumu. Msingi ni maelewano yaliyopo baina ya watu wawili na mapenzi ya kweli yanayowaunganisha.
Wengi wanaingia bila kupendana huku wakiwa hawajui kuwa kilichopo baina yao ni vitu kama fantasy, Infatuation na ndoto na pale reality inapokick in ndipo wanapoanza kulaumu tofauti ya umri iliyopo baina yao.
Nina rafiki ameoa dada aliemzidi miaka 10 na ni mzuri hasa, wanaishi kwa furaha sana pamoja na kuwa Dada hana uwezo wa kuzaa na jamaa ana watoto wa nje aliozaa kabla ya kukutana nae. Ukiwaona utatamani.

Kweli natamani niwaone!

Hivi unajua ni kwa kiasi gani ndoa nyingi siko kisanii?

Nilidhani utasema kuwa wewe ni mmoja wao!
 
Aisee kumbe unaweza kuwa siriaz kutoa ushauri kumbe hamna kitu.aise nyie watoto acheni upuuzi wenu.muwe na adabu kwa watu wazima.asante mkuu kwa kuniwekea ukweli bayana.
 
Kweli natamani niwaone!

Hivi unajua ni kwa kiasi gani ndoa nyingi siko kisanii?

Nilidhani utasema kuwa wewe ni mmoja wao!

Sio huyo tu. Nina jamaa yangu tuliekua wote toka utoto, yeye alioa mwanamke aliemzidi miaka 10, mtoto wa kwanza wa huyo mama ana miaka 13 pungufu ya umri wa jamaa. Walipendana sana na jamaa na kuzaa mtoto 1 kabla mwanamke hajafariki. Ilikuwa kila mahali wanafuatana na sidhani walikuwa na hobby nyingine zaidi ya kupendana maana hata baa walikuwa hawaendi zaidi ya evening walks pamoja.
Mwanaume akipata safari za mikoani, ni lazima aongozane na mwanamke wake. Watoto wa Mwanamke walimpenda Baba yao wa kambo na hata mwanamke alipokufa, will ilionyesha Baba wa kambo wa wale watoto ndie asimamie mali na kuzigawa na mambo yalienda vizuri tu, nyumba waliyojenga pamoja ndiyo anayoishi jamaa na mtoto wake aliezaa na marehemu na hajaoa tena.
 
Kweli natamani niwaone!

Hivi unajua ni kwa kiasi gani ndoa nyingi siko kisanii?

Nilidhani utasema kuwa wewe ni mmoja wao!

Mkuu uyu anaongea tu, tena kwa kuwatazama nje watu wamevaa vizuri wakiongozana njiani ama kuadithiwa nao..ndoa ni zaidi ya ile 3-5yrs or even 10 yrs. Ngoja uyu mama kesho afike 50 yrs uone moto wa kijana kipindi yuko 36yrs hot and energetic.
 
dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???

Hahahahaha post ya kwanza imenifanya nicheke sana....... Inaonekana kama ni ww mngeenda wote alposhukia....
 
Act ww ndie mama mkwe .mwanao ndio limemkuta hilo .and then what can do it ? pia usituchukulie poa na hizo hadithi zenu za saloon
 
Miaka 44 kwani bado wanazaa?? Mmh..watu wengine nyie, miaka 44 yote hiyo bado tu unatutaka sisi wa 31??? Hebu muache jamaa akakung'ute vzuri saiz yake...
 
Back
Top Bottom