Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mtu mwenyewe haelewesheki, yaani hakuna kabisa mawasiliano kwa sasa. Nikimpigia hapokei, wala hajibu sms. Jana nimekwenda kwake kuanzia saa mbili usiku namsubiri nje kwake mpaka saa tano naomdoka hakutoka.
Anastahili kununa, kwanza umeonyesha kwamba hawajibiki, pili kujiita bahelor unamaanisha unapatikana yaani huna m2.
Ukiwa na hawa wenzetu unatakiwa kuwa makini katika maongezi mara nyingi wanatumia hisia. Mwombe radhi yaishe.
Ulikuwa unatangaza kwamba uko freee kwa yeyote, umemzalilisha sana mwenzio. Ila kazana kumtafuta umbembeleze maana hasira ya mapenzi humalizika kwa mapenzi. She loves you thats why she got mad. Mwee Mchague ya kusema wanaume mmezidi. Kwanza huyo jirani uliyempa lift wakati uko na mpenzi wako inahusu nini, kwani wewe ni taxi driver? Yeye angempa lift mwanaume wewe ungejisikiaje:embarassed2:
Mkuu, mtu mwenyewe haelewesheki, yaani hakuna kabisa mawasiliano kwa sasa. Nikimpigia hapokei, wala hajibu sms. Jana nimekwenda kwake kuanzia saa mbili usiku namsubiri nje kwake mpaka saa tano naomdoka hakutoka.
Kisa?:shock::A S-coffee:
Kisa?:shock::A S-coffee:
Ulikuwa unatangaza kwamba uko freee kwa yeyote, umemzalilisha sana mwenzio. Ila kazana kumtafuta umbembeleze maana hasira ya mapenzi humalizika kwa mapenzi. She loves you thats why she got mad. Mwee Mchague ya kusema wanaume mmezidi. Kwanza huyo jirani uliyempa lift wakati uko na mpenzi wako inahusu nini, kwani wewe ni taxi driver? Yeye angempa lift mwanaume wewe ungejisikiaje:embarassed2:
Mkuu,
Mimi sikumdhalilisha mkuu!!
Mbona nlimtambulisha??
Kisa si ndio hicho cha kunununiwa!!!!
Nlifikiri hapa ningepata positive support ili nimfowadie link kwenye sms na email yake but wadau wameniangusha kweli kwa jinsi walivyonishambulia, hii nkimfowadia atapata kichwa sana!!!
Kwa nini hutaki kusikiliza mawazo ya wadau? umeomba ushauri halafu unakuwa na misimamo yako??
Tatizo umeleta thread hapa ukiwa unategemea kutetewa wewe na siyo kuelezwa tafsiri za wadau kutokana story uliyotoa wewe mwenyewe!
Nakushauri uchukulie michango ya watu positive na utafute mbinu za kuonana na huyo GF wako ili muyamalize...
Ila ukiendeleza ubishi, utajikuta kila mara unakorofishana na GF au hata mke wako...Hawa ndugu zetu wanahitaji mwanamume ambaye siku zote anahakikisha uwepo wao na kila kitu chao kinapewa priority nambari wani!! Kama huwezi basi pole sana...Ila kuna aina nyingine za maisha ambayo huitaji kuwa na ukaribu na hii jinsia!!
Babu DC!!
Babu vijana ndio hawa, bado unategemea kupata wakwe?
Kazi kweli kweli Lizzy,
Ila bahati nzuri wakishaoa, wengi wao wanaishia kushikishwa adabu kwa kulipia nyodo walizozifanya kabla ya kuoa!!
Hata hivyo, tuendelee kuwasaidia ili wajue kuwa wanawake wanapenda mwanamume anayejua wajibu wake na siyo mtu yeyote anayebahatisha maisha!!
Babu DC!!
Sasa babu huko kushikishwa adabu si mpaka mtu ajitoe mhanga?
Somo ndio zuri zaidi ili hata watu wavutiwe/watamani kuwa na mahusiano yanayoeleweka nao, bila hivyo wajukuu wajanja wajanja watazeeka wenyewe.