Nimenuniwa kisa nimejiita Bachela mbele yake!!!!

Nimenuniwa kisa nimejiita Bachela mbele yake!!!!

nisingekubali hta nikisamehe revenge lazima ...am a single lady am single lady
 
he he he a bachelor ninavyoelewa ni mtu ambaye hajaoa na siyo hana mchumba....anyway women are sensitive,u ve to treat them with care...jaribu kutafuta hata rafiki yake wa karibu akakuombee msamaha.being a man @ times inabidi uombe msamaha hata kwa makosa ambayo hujafanya
 
Kaka girls you have to know that woman/girls are too complicated,, so ukiwafatilia sana mambo yao utachanganyikiwa, lazima uwe na msimamo in respect to manhood,,
as long sijakuoa au hata hatujawa wachumba rasmi than dating am still a bachelor, sababu hata job my file kwa HR dept inaonesha hivyo, i believe my car are disorganised thn yours hadi b mkubwa na dada zangu wanaliita jalala he he he, but i enjoy being in it sababu siti ya nyuma is like my kabati he he he, kitu vitabu na madesa yamejaa, sometimes mafaili ya ofisin, makoti na mengineyo na my girlfriend hayupo responsible kulipanga as sijamuoa na kila mtu anakaa kwao na hata nikiwa nae sitaacha kujiita bachelor until tukipanda church,,,

Pia wadada nawaomba mtuelewe kuwa tukiwa kwenye relation haimaanishi lazima nioane as tupo kwenye kufahamiana kama tunaendana au la, so msifosi stage ambayo haijafikia muda wake, mda wa uchumba na kujibadilisha status from bachelor to married ukifika tutabadilika,,, sasa mdada mwenyewe nimekutamani kwa shepu yako ya kufa mtu unataka nibadilishe status unajuaje labda huyo aliepewa lifti ndo atakuja kuwa wife mbeleni,,,

kaka your right ulivyomjibu, ur still a bachelor.. akileta pozi sana jitoe mda wa kubembelezana sana haupo siku hizi, watu wako kwenye resi za kusaka maisha bora ye anataka kupoteza muda wako kumbembeleza,, kwa umri huu nilionao sasa hivi i only have time kubembeleza kupata tender au price negotiaon for my business but not for a lady kwa kosa lisilo na mwelekeo,, kwa imani yangu naamini i can loose alot of money chasing woman but i culd never loose a woman chasing money as long as nampatia mahitaji yote muhimu, but muda wa kubembelezana sana kwa mambo ya kijinga sina,, labda nikifika 30 nitaweza but kwa sasa ni baadae sana, im out, ngoja nikatafute hela nimnunulie my love tablet maana laptop zimepitwa na wakati he he he
 
Ulisema ukweli wewe ni BACHELOR bado mpaka hapo utakapofungwa PINGU ZA MAISHA. Wanawake ndivyo walivyo huyo wala asikupe pressure. Mpe nafasi anuneeeeeeeeee!!!! baada ya muda ataona maana ya maneno uliyoyasema. Wanawake wanapokuwa na wanaume (mnaojiita Boyfriend) wanajisahau kabisa na kudhani kuwa wameolewa. Matokeo yake wanatoa huduma zote, ikiwemo na ya kuzaa watoto nje ya ndoa, bila kujua kuwa hakuna mkataba wowote unaowafunga hao wanaume.
 
Shark,

Uko kwenye kipindi cha majaribio. Hapo naomba usi give in to her pressure.

Wewe acha anune then atatulia jifanye kama hilo tukio halikutokea, otherwise unamuandalia mazingira atakusumbua sana baadae.

Hamna kosa u r still a bachelor.
 
Duh? pole mkuu kwa yaliokukuta. Ila statement kama hiyo na kwa mazingira ambayo umeitoa inaumiza flani! Hata mimi ingeniuma, ningeona hunithamini na sina mchango wowote kwako! Katika mazingira kama hayo ingebidi umtetee kwa nguvu zaidi mpenzi wako ili kihere here kimuishe huyo alopewa lift maana alizidi kwa kweli, we umepewa lift mambo ya gari sijui limefanyaje inahusu nini? Muombe tu msamaha na next time watch out mazungumzo yako, wanawake tupo very sensitive!
 
Wakuu, hii ni zaidi ya kununiwa, bila kuzunguka sana utakua ni kuachwa tu. Mpaka dakika hii bado nimenuniwa. Nishatuma marafiki zake kama watatu hivi Na hawarudi Na majibu. Marafiki zangu nao ndo kama mimi tu. Kilichobaki sasa ni kumtegemea mungu tu ashushe miujiza yake
 
Alikuwa anatafuta mlango wa kutokea tu huyo, angekuwa anakupenda asingemaindi sana labda angemnunia huyo abiria wako zaidi.
 
Wadau, ukiacha maswala ya kuajiriwa mimi pia ni mwanafunzi wa chuo hivyo hua nabebaga madaftari, vitabu, past papers, notisi na makaratasi mengine kibao tu siti ya nyuma kwenye gari. Last time nikiwa na galfriend wangu ambae hatuishi pamoja ilitokea tukampa mdada mmoja hivi ambae nafahamiana nae lift ambae alishangaa kukuta gari limejaa mavitabu ndani. Nlichomjibu ni kua ubachela ndio unaonisumbua ndio maana gari halijapangwa. Eti mwenzenu nimenuniwa toka hiyo jumatatu mpaka leo. Nachoomba mnisaidie neno bachela linagumika pia kwa mtu mwenye mchumba??? Maana hui mnuno as safari hii too much!!!

HIVII! kama ingekuwa wewe ndo yeye,harafu njiani mkampatia lift mwanaume mwenzako,then akamuuliza madaftari yote haya,then yeye ndo mwenye madaftari akajibu ,huu usingle unanisumbua,huku akijigonga, wewe ungejiskiaje?
usipende kushobokea mwanamke mwingine wakati upo na mtu wako,hakuna anayependa kitu kama hicho! majibu yalikuwa ni mengi tu ya kistaarabu ya kumjibu huyo intruder,hapo ulionyesha indirect DHARAU!
BEHAVE! ACHA KUROPOKAROPOKA,unaweza kumpoteza mtu wako kizembezembe
nenda kwake, say sorry kwa yale uliyotamka, muendelee na taratibu zenu, usijifanye unaweka uanamume hapo,iko wazi tu,ulichemka,correct that mistake,muweze kumove on
 
Back
Top Bottom