Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi nimeamua nikae kimya. Ila naumia sana.